HII NI AIBU KUBWA KWA EATV NA RADIO

HB.com

JF-Expert Member
Oct 19, 2015
576
500
Hatimaye......Rayvanny Winning BET AWARDS 2017
.
.

Ila tujikumbushe kidogo....mnamo tarehe 9 June .
EAST AFRICA TV & RADIO watilia shaka uwepo wa @Rayvanny kwenye Tuzo za BET .
.

SHAKA LA KWANZA....ni msanii huyo kutowekwa katika website yao ambapo wasanii wote ambao wapo nominated wamewekwa katika website hiyo
.
.

SHAKA LA PILI....ni page ya BET iliyompost Rayvanny kumuombea kura kwamba ina followers wachache na haipo verified.
.
Hakika EATV ndio kituo kinachoongoza kwa chuki dhidi ya wasanii haswa WCB... Je kwa hili la Rayvan Je Aibu yao au Aibu ya nani??? .
 

kamanda mbigi

JF-Expert Member
Feb 8, 2017
1,243
2,000
EATV siku hizi wameanza upuuzi kama wa TBC naona.....anyway Rayvanny wala hasiwajibu yeye achape kazi tu....nawasihi na EATV hata kama dogo kashinda wajikaze kutokatanga hiyo habari maana itakua aibu kwao
 

samsun

JF-Expert Member
Feb 9, 2014
7,390
2,000
Hiyo TV na Radio walijitahidi kujifanya hawapo upande wowote,lakini CHUKI ZAO KWA WCB WAMESHINDWA KUZIFICHA,NA SASA WANAONYESHA UHALISIA WAO.Halafu wanajikuta hawawezi kufanya lolote la kuiangusha WCB,ila wamebaki na kurusha madongo yasiyokuwa na madhara kwa WCB.
 

Iceman 3D

JF-Expert Member
Sep 3, 2016
20,619
2,000
nadhani hapo ndio huwa nashindwa kuwaelewa EA Radio, kama hawamkubali si wampotezee tuu, kama wenzao Clouds hawana ubia na Lady jay dee ila huwez kuta wana muongelea hata sku moja
 

Mkaruka

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
15,152
2,000
Dulla Planet ana mpango wa kumwoa ZABIBU KIBA, S O ANAHAKIKISHA Anamfurahisha KIBA Kwa nguvu zote
 

Leak

JF-Expert Member
Feb 22, 2012
48,181
2,000
Hawa jamaa naoha wanachosha sana kwa chuki binafsi zisizo za msingi kabisa hasa Dulla
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom