kanali mstaafu
JF-Expert Member
- May 17, 2015
- 4,319
- 4,089
/Tanga kunani,vurugu mechi mkwakwani/
/Msambaa chumbani,Ye ndo Mesi uwanjani/.......
/Msambaa chumbani,Ye ndo Mesi uwanjani/.......
Hiyo ni baadhi ya mistari kwny wimbo wa FIRESijaelewa kitu...
Natafuta funzo kupitia mistari hiyo silioni...Hiyo ni baadhi ya mistari kwny wimbo wa FIRE
umekariri fasihi ya o'level...wimbo unaburudisha!Natafuta funzo kupitia mistari hiyo silioni...
Kakudanganya nani? Kama hujui kaa kimya...umekariri fasihi ya o'level...wimbo unaburudisha!
unataka funzo kwenye wimbo wa diamond?kweli?...bangi!Kakudanganya nani? Kama hujui kaa kimya...
Kwa kuwa wewe unavuta bangi basi unadhani kila mtu anatumia. Kaazi kwelikweli...unataka funzo kwenye wimbo wa diamond?kweli?...bangi!