Ali kiba ndo kashapotea au

HB.com

JF-Expert Member
Oct 19, 2015
583
500
Nahitaji jibu huyu jamaa yuko wapi siku hizi maana hasikiki kabisa au tayari kapuni na vipi zile show zake za ugaibuni kaisha maliza

masikini kiba hasikiki tena so sad kweli
 

sab

JF-Expert Member
Jan 25, 2013
5,738
2,000
Music ndivyo ulivyo, wajanja hawakai kwenye music muda mrefu wanaanzisha miradi yao mingine maisha yanaendelea
 

Mlatinoh king

JF-Expert Member
Oct 14, 2015
5,113
2,000
kiba mpuuzi sana katka hili.....hata kama ni kutegea upepo wa game lkn sio kwa mtindo huu......mashabiki zake tunamtetea mpka tumechoka sasa..!!! point zote tunazo tumia wakati wa kumtetea zimeisha.

kama shida ni hao sony basi si ajitoe tu....!!
Lakini kama ni mapozi yake tu basi ni mpuuzi sana.

From now on mi ni "team no team"
 

Chige

JF-Expert Member
Dec 20, 2008
9,990
2,000
Kiba mnamuonea tu hapa... problem ni Sony waliokuwa wamedanganya kwamba Kiba angetoa album mwishoni mwa 2016 wakati walifahamu kabisa kwamba walikuwa wanadanganya kwa sababu hawana huo utamaduni!!!

Na hakuna tabia mbaya ya Sony kama kuwafanya watu wa upande wao ndio wawe mameneja wa wasanii matokeo yake wasanii wanakosa watetezi waliopo kwa ajili ya maslahi yao na maslahi ya Sony!!
 

gwa myetu

JF-Expert Member
Aug 18, 2014
4,398
2,000
achana na story za vijiweni,penda kufatilia mambo mwenyewe...nani If inayotamba ni ya nani??? na Fall je? Nobody ugly kaimba nani??? ukishajua jisome upya ulichoandika...usikute hata mziki hufatilii.
Jamaa alikuwa na point ila kashindwa kuiweka vizuri kama mimi vilevile kuhusu Sony ,hata mm naona kuna wakati Davido alipoa au kupotea kabisa kwa muda mrefu kwa kunana na sony (nipo tayari kurekebishwa)
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom