mwanaMtata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2014
- 2,393
- 1,433
Msanii gwiji Mond, Dangote, Chibu, D'billion na majina mengine kibao anayojiita je anakumbuka huku alikotoka.
KIJANA YEYOTE KIJANA MWENZANGU TIA BIDII LOLOTE UNALOFANYA MUNGU ANAKUONA NA IPO SIKU ATAKUFUNGULIA NJIA USIKATE TAMAA