Diamond hafikii mziki huu.kiki tu inampaisha na jina

Ngalikihinja

JF-Expert Member
Sep 1, 2009
22,398
2,000
hata sijui mkuu .kuna watu ukimcritisize mond huku wanakuja juu wakati wamemjua kwenye salome.dogo kashuka musioc anaotupa sasa hivi sio .lazima tumuambie ukweli? hivi kusema ukweli ndo kuwa hater?
Shemelaa...
Kuna fulani kupiga muziki mzuri, na kuna kupenda muzuki wa fulani.... Hayo ni mambo mawili tofauti... SIYO KILA UKIPENDACHO NI KIZURI KWA KILA MTU... hivyo kuzia hayo ...
1. Hesabu tuzo za muziki
2. Angalia show zake zinajaza kiasi gani
3. SHow zake anazipiga wapi na wapi
4. Watu wa aina gani wanaingia kwenye show zake...
etc

Ngali K
 

Ngushi

JF-Expert Member
Jul 8, 2016
9,080
2,000
Ni kweli ukisikiliza nyimbo zake za zamani mfano
Nalia na mengi
Mawazo
Lala salama
Nitampata wapi
Na hizi za sasa utaona kama hazina radha nzuri kama ile ya zamani ila hizo za zamani ni nzuri kwa hapa nyumbani tu huko mbele wala hawazishobokei!
Angalia zilizomtambulisha kimataifa
Nana
Kidogo
Etc......
 

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Sep 16, 2015
23,490
2,000
Ni kweli ukisikiliza nyimbo zake za zamani mfano
Nalia na mengi
Mawazo
Lala salama
Nitampata wapi
Na hizi za sasa utaona kama hazina radha nzuri kama ile ya zamani ila hizo za zamani ni nzuri kwa hapa nyumbani tu huko mbele wala hawazishobokei!
Angalia zilizomtambulisha kimataifa
Nana
Kidogo
Etc......
mkuu umenielewa .
namtaka mond wetu wa zamani. zamani alikuwa akitoa wimbo kila mtu anakaa chini
 

mwenda wazimu

JF-Expert Member
Feb 20, 2017
823
1,000
Miss nyakati azifanani na si kila akitoa nyimbo lazima na wewe uipende watapenda na wengine, kipaji alicho nacho mondi usilinganishe na iyo nyimbo wapo wakumlinganisha nae ila sio kwa kelele izo za kina amba lulu apo amna mziki ni kelele tu!!!
 

Ngushi

JF-Expert Member
Jul 8, 2016
9,080
2,000
mkuu umenielewa .
namtaka mond wetu wa zamani. zamani alikuwa akitoa wimbo kila mtu anakaa chini
Ni kweli hata Mimi nimemiss zile tungo zake za zamani, hizi za sasa kiukweli zinakinai mapema!
Ila angebadili hata producer sio kila ngoma Yale matarumbeta na beat za laizer!
Kiukweli angekuwa vizuri sana ingawa anasema zile kama za zamani hazimlipi kama hizi za sasa mkuu
 

Travis 1

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
541
1,000
Ndivyo walivyo wasanii wetu, angalia mtu kama chris brown yani sikuhiz hamna cha maana anachoimba mfano wimbo kama "privacy".
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom