Nawashauri Polisi kwamba TID akija ashikiliwe kwa Kosa la kuendea kutumia madawa

Mtarban

JF-Expert Member
Jan 14, 2015
3,818
5,007
Nawashauri Polisi endapo TID akija Polisi kuleta sijui malalamiko ya nini, awe kama kawarahisishia kazi ya kumkamata maana alidanganya kuwa kaacha matumizi ya dawa za kulevya wakati kwa sasa ndio kakithiri kabisa
nawasilisha najua mtalifanyia kazi
 
Back
Top Bottom