Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Hivi ukiwaangalia hawa bongo movie wote Wa kike na Wa kiume huwa mnawaelewa kweli Kwa maana ya IQ ...elimu...mtazamo Wa maisha...lifestyle nk Ukisikia Mdogo wako Wa kike au Wa kiume anataka...
0 Reactions
3 Replies
986 Views
Ndugu wanaJF, Shahidi kutoka Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali, Elias Mulima amesema sampuli ya mkojo wa msanii Agnes Gerald 'Masogange' ulikutwa na heroin. ===== Mfululizo wa kukamatwa, kesi...
0 Reactions
71 Replies
12K Views
Aisee huyu sijamsikia kabisa hivi mwaka huu hakugombea hata viti maalumu maana 2005 alikuwa machachari sana??
0 Reactions
22 Replies
9K Views
Hivi karibuni katika pita pita zangu kwenye mitandao ya kijamii ili kujipatia habari nilikutana na picha chafu za uchi za binti wa Kitanzania ambazo nilifanya kuzipotezea,kilicho ni shangaza siku...
0 Reactions
122 Replies
44K Views
Nashindwa sana kumuelewa huyu Mtangazaji wa Idhaa ya Kiswahili ya BBC Mariam Dodo Abdallah kwa vitendo vyake vya kuwa anakosea / anakengeuka / anavapa kila mara anapokuwa akitangaza iwe ni asubuhi...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Mimi naanza; Leo ni siku ya kuzaliwa ya Arnold Schwarzniger muigizaji mashuhuli kutoka USA.. Pia ni siku ya kuzaliwa ya meneja wa chelsea fc ya Uingereza Antonio Conte Sent using Jamii Forums...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Nasema tu ukweli hii wiki imekuwa ngumu sana kwa sisi timu kumchukia Zari. Hii mijeledi waliyotutandiki wiki hii si ya nchi hii kwa kweli daahh. Anyway wacha nihangaike na mahusiano yangu.
3 Reactions
13 Replies
5K Views
Bibie ameachia nyimbo kali sana inaitwa KICHAKA akiwa na wakali wa bongo flava, G nako na Belle 9 isikilize HAPA. Kwa hisani ya Dj Mwanga
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Hivi naomba kuuliza huyu Marilyn Mashiba ni nani mpaka JK ahudhurie send-off yake? Source: Michuzi blog
1 Reactions
89 Replies
14K Views
Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Nenda kwenye twitter comment Hash Tag nyimbo ya Eneka by Diamond Platnumz kwenye account za @Mtvbaseafrica @Mtvbaseeast.
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Ukichunguza kwa umakini utagundua @mcharuko_ na @carrymastory wanamtumia sana dai &zari ktk account zao siyo kwamba wanawachukia laa hasha wanaongeza attention ya followers yaani kwa kiswahili...
4 Reactions
37 Replies
5K Views
Mkongwe wa muziki wa bongo fleva Rehema Chalamila 'Ray C' amedai kumfunga mwizi aliyedukua (hack) ukurasa wake wa Instagram uliokuwa na wafuasi zaidi ya laki tano na kusema kwamba hataweza...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
DIAMOND AWATOLEA MAPOVU WANAOMPONDA ZARI. . By diamondplatnumz - Kuna vichupi kunuka wanajifanya wanajua sana uchungu wa Misiba ya watu.... Mtoto wa watu katoka katika matatizo mfululizo...
25 Reactions
180 Replies
25K Views
Sent using Jamii Forums mobile app
4 Reactions
50 Replies
10K Views
John Kimario maarufu kama Prince Galaxie ni msanii chipukizi kutoka kata ya Kirongo Samanga Usseri wilaya ya Rombo Mkoani Kilimanjaro ameanza game tangu 2014 lakini sasa amekuja na ngoma yake mpya...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
-Mmoja ya wahariri mahiri kwenye vyombo vya habari -Amewahi kutunukiwa Tuzo ya Uandishi Bora wa mambo ya utalii kwa Afrika nzima -Mara ya mwisho kumsikia ni kipindi kile yupo The Guardian baada ya...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Mwanamuziki ambaye pia ni hit maker wa ngoma inayosumbua kwa sasa ijulikanayo kama "Mwanaume Mashine" Msaga Sumu amedai kuwa ngoma hiyo licha ya kumletea mafanikio ya muda mfupi kulinganisha na...
3 Reactions
144 Replies
28K Views
Wakati ulimwengu ukijiandaa kuangalia pambano la kukata na shoka kati ya Floyd Mayweather(The Pretty Boy) na Conor McGregor mnamo tarehe 26 August pamoja na lile la Canelo Alvarez na Gennady...
0 Reactions
32 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…