Prince Galaxie, msanii chipukizi anayeiwakilisha vyema Kilimanjaro

JOHNGERVAS

JF-Expert Member
Mar 22, 2016
470
597
John Kimario maarufu kama Prince Galaxie ni msanii chipukizi kutoka kata ya Kirongo Samanga Usseri wilaya ya Rombo Mkoani Kilimanjaro ameanza game tangu 2014 lakini sasa amekuja na ngoma yake mpya inayoitwa 'ananibambaga' ambayo inafanya vizuri katika vituo mbalimbali vya Radio hususani kule Kenya na hapa Tz. Kiukweli dogo anajitahidi sana kama hujawahi kucheki video yake hebu icheki hapa

Amefanya video kali sana tumpe sapoti
 
6397121592d05b28ef28ea692367fc94.jpg
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom