Na Zawadi B Lupelo
Tulipokuwa tukisoma kiswahili mwalimu wetu wa fasihi (kiswahili 2) alipenda sana kutoa tafsiri ya neno mojamoja. Alituambia SANAA ni UFUNDI wa kueleza mawazo yaliyo katika...
Wanamuziki wa Tanzania, Uganda na Kenya akiwemo Ali Kiba, Nandy, Bebe Cool na Nyanshiski ni miongoni mwa nyota 18 wa muziki walioteuliwa kuwania tuzo za All Africa Music Awards {AFRIMA}...
Siku za karibun King Kiba aliachia songi lake matata "seduce me" lililopewa hadhi ya kimataifa na wachangiaji wengi wa mitandao ya kijamii huku wachache kati yao hasa wale team Diamond wakiona...
Msanii Ali Kiba alijikuta akivaa nguo za jinsia isiyo yake yaani za kike na kujikuta ametokelezea kama Aunt Asuu, Dan mtoto wa Mama, James Delicious au Bilal Mashauzi.
Ali Kiba kama wengine...
Kuelekea pambano la 50 tangu aanze kucheza ngumi za kulipwa akitokea kule kwenye ngumi za ridhaa, namuombea sana mwanangu Floyd Mayweather aibuke kidedea kwenye pambano lake dhidi ya Conor...
habari zenu wadau..
sijawahi kuanzisha thread yoyote kwenye jukwaa hili ila leo imenibidi nianzishe tu maana uvumilivu umenishinda.
Hili hit song la sedume me aloimba Ali Kiba sio level za nchi...
Wajuzi wa mambo embu nipeni dodoso kidogo, nini kimetokea kati ya maswahiba hawa wawili?
Justin Bieber alikuwa shabiki wa damu wa Floyd Mayweather lakini naona ghafla anamchukia Mayweather...
Hii kazi imewaibua watu maarufu hapa nchini akiwemo Makonda na Jakate na na sasa Mkuu Wa Wilaya ya Kinondoni ambaye ameahidi kutoa zawadi kwa Ali kiba kwa kazi nzuri iliyotikuka. Seduce team Domo
Hii ipo na ni fact kuwa aliyekutangulia na akawa legend,hata iweje hauwezi kubadilisha ili uonekane ww ndo legend kwa kigezo cha mafanikio.
Mfano,Maradona, ronaldo de lima, Gaucho n.k hawa ni ma...
Mwanamasumbwi machachari kutoka ufilipino ambaye pia amebatizwa jina la ngumi cherehani na mashabiki wa ndondi kutokea Tanzanian ndugu Emmanuel Dapdrin ambaye pia maarufu kwa jina la Manny...
Katika uongozi wa awamu ya nne tulikuwa na wasanii mbalimbali waliokuwa wanatoa nyimbo za kutufariji wakati wa shida na mihangaiko mfano Roma mkatoliki,Ney wa Mitego na wengine wengi tu..Vipi wako...
I am Kenyan na naipenda Tanzania sana. Kila siku nasikitika na lifestyle ya watanzania. Wakiamka asbuhi insta kusoma udaku na kupesti jamii forums. Kenya we work hard, naamka asbuhi naelekea...
Ma bibi na bwana nawalika kuja kuangalia video ya mziki mzuri na mtamu toka Asley uitwao Pusha. Hii ndo bongo fleva kuanzia uimbaji hadi beat.
Sent using Jamii Forums mobile app
Teh teh teh teh teh teh teh!
Huyu jama amebaki anaangalia aimbe staili gani ili walau aendelee kubaki kwenye headline.
Muziki mtamu tuliouzoe kutoka kwa diamond miaka ya 2010, 2011...