Kama kichwa cha Habari kinavyojieleza, nyimbo pekee nionavyo mimi ambayo kidogooo inaweza pambanishwa na seduce me ya ALLY KIBA ni nyimbo ya msanii huyohuyo inayoitwa AJE
kwanini nasema hivyo...
Alikiba ni bonge la msanii hapa tanzania na afrika mashariki kwa ujumla, ni mbunifu, aibi mashairi wala melody kwa mtu yoyote yule. Hua anakaa kimwa mda mrefu na anakuja na kitu kizuri zaid na ni...
Diamond platunumz amepost katika ukurasa wake wa Instagram huku akionesha ushahidi ambao unathibisha ukweli wa ndoa yao kukaribia
Zarithebossylady ambaye ametoka Afrika Kusini yupo nchini...
Staa wa sinema za Kibongo, Wema Isaac Sepetu na Idris Sultan.
Wapendanao ndiyo wapatanao! ndivyo walivyosikika baadhi ya mashabiki wa staa wa sinema za Kibongo, Wema Isaac Sepetu na Idris Sultan...
Najaribu kununua wimbo maarufu wa Kitanzania, kwenye tovuti maarufu ya Kitanzania lakini siupati na haupo. Zaidi ya yote hakuna hata wimbo mmoja wa King, mwenye Bongo Fleva yake...
Sio poa...
Aliyekuwa anajiita rais wa masharobaro au ukipenda muite Mr Chocolate Flavor, Bob Junior hatimaye amlilia Diamond Platnumz na kumlaumu kwa nini amemtupa?
Bob Junior roho inamuuma kwa kuwa yeye...
Aman iwe nyanyi wapendwa wa mungu
Lengo si kulinganisha ip ngoma kali kati ya zilipendwa na seduce me mana hakuna asiyejua seduce me ni kali zaid ya zilipendwa.
Ngoma ni nzur lakin si nzur kama...
Wakuu kwema?
Hivi huyu mmakonde aliyepata kiki kwa ishu za ajabu ajabu kama vile kukimbia bastola iliyonyoshwa kwa mh Nape na mengine mengi mbona kimya.
Amepotelea wap wakuu.
Anayejua ukimya wake...
Lengo kuu la uzi huu ni kuweka historia sawa.Naomba sana mods msiunganishe na uzi mwingine.
Nadhani wote tunakubaliana kuwa EX hawaachani bali wanatengana tu kwa muda endapo mmoja akiamuwa...
Msanii anaye hit kwa sasa na hit song inayo kwenda kwa jina la seduce me Alikiba amezungumza kwa mara ya kwanza na kufunguka mengi
Alikiba amesema kila mtu anajua ubaya ambao unafanyika juu yake...
Ww diamond ni msanii mkubwa sana na ulikuwa umejijengea heshima kubwa sana kwenye jamii kutokan na kazi zako za mziki. Ni mtu ambaye ulikuwa una deel na kazi zako tu, ulikuwa siyo mtu wa mabifu na...
Kwanza diamond hana mashabiki bali ana wanachama.kupitia kwa diamond ndio maana kina lavalava,rayyvan,harmonize wana mashabiki lukuki na ndio maana endapo utataja top20 ya wasanii bora huwez...
Mayweather ameendelea kuhidhirisha ubabe wake baada ya kumpiga McGregor kwa T.K.O katika round ya kumi........
Round 1:McGregor anarusha ngumi kwa kasi na kumpeleka Mayweather kwenye...
Kwenu wanajamvi... ni mtazamo tu.
Walengwa wakubwa hapa ni wanamuziki na wanafilamu.
Nikianza na wanafilamu, hawa sanaa yao imepoteza mvuto siku nyingi kinachofanyika ni kurudisha mvuto.
Hata...
Alfajiri ya leo kulifanyika tuzo za Mtv Video Music Awards uko Inglewood, California zilizohostiwa na msanii mkongwe Pink.
Katika tuzo izo Rapper Kendrick Lamar kutokea Compton, California aliweza...
Makonda ameandika ujumbe wa kuwapatanisha Ali Kiba na Diamond. Kama mkubwa na mlezi wa mkoa hana budi kufanya vile, lakini mbona yeye na Ruge alisubiri mpaka Rais awapatanishe?
Kumekuwepo na tetesi kuwa Eatv na Ea Radio hawapigi nyimbo za Diamond na kwamba kuna ugomvi leo katika pitapita zangu nika kutana na hii habari kwenye blog ya Eatv
"Rapa Fid Q amefunguka na...
Inashangaza kuona kazi imefanywa na band ya Wcb ikijumuisha wasanii wote wa Wcb lakini huyu gwiji wa mitandao ya kijamii katoa pongezi kwa msanii mmoja tu inamaana wengine hakuwasikia au kuwaona...
Ndo nini sasa ulichofanya? Mwenzako kazindua ngoma ili kumuharibia mwenzio na ww ukazindua hahaaa sasa tuone nani ataibuka kidedea
Hicho kifundo cha rohoni ndo kinakusumbua umekosea tu hujui...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.