Man Walter: Kutoa nyimbo baada Ali Kiba ni kupaniki na povu

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Sep 20, 2016
1,817
4,058
Producer wa Ali Kiba Man Walter amedai akihojiwa kipindi cha Planet Bongo amedai waliosikia Ali Kiba katoa nyimbo kisha na wao kutoa ilikuwa ni panic na povu
Amesema wao wanaangalia ni ngoma ya msanii gani ipo hewani kisha ndio wanatoa ili kutowagawa mashabiki na wana nyimbo kibao tu watatoa

Ali Kiba nae amesema ameona hakuna nyimbo hewani kwa kuwa hashindani na mtu

Tupo kazini
21149223_169404436955116_9187330238969806848_n.jpg
 
Bando langu mwenyewe usinipangie chakupost... usinipangie... usinipangie... wewe usinipangie. Mimi ni mwendesha bodaboda usinipangie muda wa kukusanya buku buku... usinipangie. Dah yule jamaa kachana humu humu.
 
Man walter pole kwa kupanic huko unaamini haipo siku mtu wa wcb kurekodi kwako au kujitoa ufahamu muuza maembe hachagui mteja pole maproducer wa ndani mnajitia vidole wenyewe ngoja tuelekee kusini tu kwa God father maana maproducer mna team nchi inavituko hii kwann kupangiana maisha eti mtu asitoe nyimbo yake kisa mtu fudenge kibakuli ye kama nani nchi hii nasema # tusipangiane, endeleeni kutumia nguvu na kampeni za dada yenu kigagula yule psychopath kizuri chajiuza kibaya chajitembeza
 
Point

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aslay katoa nyimbo zaidi ya nne katika kipindi kifupi na zote ni bora ukilinganisha zilizotolewa na Ali Kiba au zile Wasafi hivi karibuni
 
Man walter pole kwa kupanic huko unaamini haipo siku mtu wa wcb kurekodi kwako au kujitoa ufahamu muuza maembe hachagui mteja pole maproducer wa ndani mnajitia vidole wenyewe ngoja tuelekee kusini tu kwa God father maana maproducer mna team nchi inavituko hii kwann kupangiana maisha eti mtu asitoe nyimbo yake kisa mtu fudenge kibakuli ye kama nani nchi hii nasema # tusipangiane, endeleeni kutumia nguvu na kampeni za dada yenu kigagula yule psychopath kizuri chajiuza kibaya chajitembeza
 
Man walter pole kwa kupanic huko unaamini haipo siku mtu wa wcb kurekodi kwako au kujitoa ufahamu muuza maembe hachagui mteja pole maproducer wa ndani mnajitia vidole wenyewe ngoja tuelekee kusini tu kwa God father maana maproducer mna team nchi inavituko hii kwann kupangiana maisha eti mtu asitoe nyimbo yake kisa mtu fudenge kibakuli ye kama nani nchi hii nasema # tusipangiane, endeleeni kutumia nguvu na kampeni za dada yenu kigagula yule psychopath kizuri chajiuza kibaya chajitembeza
Bonge la povu sijui la Omo au sunlight!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom