Kiongozi wa team kiba instagram akamatwa, anaejiita shilolekiuono

brave one

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
4,876
7,366
Shabiki maarufu instagram wa alikiba na anaejiita kiongozi wa team kiba hatimae amekamatwa na jeshi la polisi kwa kutukana na kukashifu watu mbali mbali mtandaoni, kijana huyo amekuwa akiandika matusi mazito na kukashifu watu mbalimbali
1479453673209.jpg

1479453761851.jpg

1479453908942.jpg

1479453935025.jpg
 
Lakini si ipo kinyume na sheria kupost picha ya mtu bila ridhaa yake lakini pia hata tuhuma husika hazijathibitishwa bado.
 
Nadhani itakuwa vyema kama jeshi la polisi likitanua zaidi wigo wa kukamata wanafanya mitandao kama vijiwe vya matusi...inashangaza huyu anaetumia jina sio lake kakamatwa wakati kuna watu wanatumia majina yao na wanatukana matusi mazito mazito na bado wanadunda mtaani...
 
Back
Top Bottom