Unadhani nani mkali 20% & Diamond?

Fukara

JF-Expert Member
Dec 28, 2013
1,516
2,000
mmevurugwa kweli nyie mnafananisha man u na lipuli ya iringa.
 
ze keke

JF-Expert Member
Aug 20, 2012
402
500
nyie kweli mevurugwa! diamond very soon anapga colabo na akina chrst brown, unamlngansha na 20%?
 
snipa

JF-Expert Member
Dec 10, 2013
4,133
1,250
nyie kweli mevurugwa! diamond very soon anapga colabo na akina chrst brown, unamlngansha na 20%?

Kama kwa kina P square alienda kwa Kuibia almanusra afukuzwe !

Now unaropoka domo kufanya collabo na kina Chriss Brown ! Be serious !

This can't be we ndo utakaeniambia Jose Chamilione na Diamond Mkali Diamond !

:focus:

Kwa mwenye akili timamu anaelewa ni nini 20% anafanya ! Ila mjinga mjinga hawezi kuelewa ! Nakuendelea kudatishwa na Domo !

LMFAO
 
Dinazarde

JF-Expert Member
Jan 1, 2014
37,016
2,000
Aisee mi ni mkwelii Diamond ni mkaree tuwen tu wakweliii yaan kuna nyimbo zake hua zinabembelezaa,huyo 20 mlinganishe na kigwendu
 
strong ruler

JF-Expert Member
Nov 2, 2013
4,787
2,000
20% mkali nyimbo zake zinaelimisha kimtindo" diamond toka atoke nyimbo zake ni mapenzi tu mara kaachwa mara kapenda mara kaachwa mara kapata namba one hana wimbo hata mmoja wa hofu ya Mungu" japo kawateka sana hichi kizazi cha mapenzi!!
 
NJALI

JF-Expert Member
Jan 9, 2014
1,536
2,000
Mimi nadhani hawa wawili wanapishana ki maudhui, pia namna ya kutengeneza sauti. Diamond anasauti ya kuvutia kumsikiliza japo hana ujumbe wa maana kwenye nyimbo zake. 20% anaimba ujumbe mzuri unaoelimisha japo sauti anayotumia si njema sana. Ommy Dimpoz na Rich Mavoko ndio wanawezwa fananishwa na Diamond ki mziki na akiporomoka tu mmoja kati ya hawa anachukua nafasi yake kwa sasa jamaa yuko juu sana kwa kizazi hiki cha majoka.
 
elmagnifico

JF-Expert Member
Jul 7, 2011
8,076
2,000
Kiukweli ukweli usemwe diamond habari nyingine aisee. 20% anajitahidi lakini usela nyaa unamharibia
 
Stanley Mitchell

JF-Expert Member
Jan 2, 2014
4,592
2,000
Aisee mi ni mkwelii Diamond ni mkaree tuwen tu wakweliii yaan kuna nyimbo zake hua zinabembelezaa,huyo 20 mlinganishe na kigwendu

Mkali kwa kipi labda, kuvaa sketi ama vipedo?

Nyie ndo wale mnaokuja kusema Diamond mkali kuliko Juma Nature...

Mafanikio ya kifedha haya-determine kua we ndo mkali katika fani yako.. kama hiyo ndo ground yako ya kusema Chai Jaba mkali.

Mwangalie P. Diddy si ndo anaongoza kwa hela kwenye hip hop, lakini si unamuonaga anarap pumba tu, Eminem ndo King wa Hip Hop lakin hayupo hata kwenye Top 5 za wenye hela za Hip Hop...

Kwenye boxing , Floyd anapiga hela ndefu lakini huezi mlinganisha kwa ukali na Muhhammad Ali ambaye hakuwahi kushika hela izo
 
Stanley Mitchell

JF-Expert Member
Jan 2, 2014
4,592
2,000
Kama kwa kina P square alienda kwa Kuibia almanusra afukuzwe !

Now unaropoka domo kufanya collabo na kina Chriss Brown ! Be serious !

This can't be we ndo utakaeniambia Jose Chamilione na Diamond Mkali Diamond !

:focus:

Kwa mwenye akili timamu anaelewa ni nini 20% anafanya ! Ila mjinga mjinga hawezi kuelewa ! Nakuendelea kudatishwa na Domo !

LMFAO

Agiza soda nakuja kulipia
 
elmagnifico

JF-Expert Member
Jul 7, 2011
8,076
2,000
Mkali kwa kipi labda, kuvaa sketi ama vipedo?

Nyie ndo wale mnaokuja kusema Diamond mkali kuliko Juma Nature...

Mafanikio ya kifedha haya-determine kua we ndo mkali katika fani yako.. kama hiyo ndo ground yako ya kusema Chai Jaba mkali.

Mwangalie P. Diddy si ndo anaongoza kwa hela kwenye hip hop, lakini si unamuonaga anarap pumba tu, Eminem ndo King wa Hip Hop lakin hayupo hata kwenye Top 5 za wenye hela za Hip Hop...

Kwenye boxing , Floyd anapiga hela ndefu lakini huezi mlinganisha kwa ukali na Muhhammad Ali ambaye hakuwahi kushika hela izo

Ukitaka thibitisha hilo 20% aandae show siku moja na diamond halafu uone atakayejaza ukumbi ni nani.
Kwani wewe mtu kufanikiwa kimziki ni nini? Nadhani ni kuimba na kuifikia watu wengi wakamjua na kupenda kazi zake akaingiza pesa.
Haijalishi uwe mkali kiaje kama watu hawatakuelewa unatoa ngoma unaishia sikiliza wewe na jirani zako basi mziki utakuwa bado hujafanikiwa.
Kumcompare mohamed ally na floyd si haki kwakuwa wamekuwa kwenye masumbwi katika vipindi tofauti may be ally naye angeanza masumbwi recently angekuwa ana pesa.
Diddy yeye utajiri wake unatokana na ujasiriamali na u producer na sio mziki.
Kwa hiyo unataka kusema wabongo wengi mamburula maana nadhani asilimia kubwa wanamkubari diamond zaidi ya 20%.
 
Naona unashoboka.
Kupigana kwa vipindi tofauti na kwa uzito tofauti hakuleti tofauti yoyote katika mchezo wetu huu

Ndo mana kuna vitu vinaitwa
Pound for pound
The greatest of all time
The best ever n.k

Kingine unachoshoboka nacho ndio ni kweli Diddy ni enterpreneur na producer na ni rapper vile vile.....
Huo 'utajiri ' wa diamond ...kama vile ambavo nyie flomo mnavodai ni tajiri umetokana na muziki tu??
Hayo matangazo ya Coca na vodacom vipi?
Kile kiduka chake cha nguo kilichokufa pale kino Studio
, kuuza uza tisheti na vipedo vipi sio ujasiriamali huo??

Ulivo na akili fupi 20% nyimbo zake zile alizisikiliza yeye na jirani sio?
Acha majungu wewe, Tamaa Mbaya na Ya nini Malumbano , karibia Tanzania nzima zilisikilizwa tena na rika zote ..hadi wazee walimjua 20% kama una tatizo na personality yake sema ila kazi zake zitadumu sana.

Sijasema wabongo ni mambulula bali nasema wewe ndo mbulula kwani hujui matumizi sahihi ya 'R' na 'L'
 
Unajichanganya hapo, malipo aliyokuwa anapigana ally wakati wake huwezi linganisha na malipo anayolipwa floyd wakati huu.
Ni sawa kulinganisha malipo waliyokuwa wanalipwa wasanii katika show mwaka 2000 na mwaka 2014.
Makampuni yanatafta mtu ambaye ni brand ndiye anapewa deal. Mtu ambaye anafanya vizuri ametengeneza jina ana big number of fans ndo maana wana mpick diamond.
20% aache kufanya biashara ya mziki kisela nyaa maana no matter how good he might be bado dogo atamfunika.
 
We taqo kweli...kuna kitu kinaitwa inflation ,
dola milioni moja ya kipindi cha kina Ally ama big George Foreman fmiaka ya 70 unajua si sawa na bei gani kwa sasa???

Ndo mana nikakwambia kuna kitu kinaitwa pound for pound katika ngumi...hicho kipimo kinapima kila kitu kama hujui vunga.

Huyo Vanessa mdee ana jina gani hapa TZ hadi na yeye akafanya tangazo ? Dont get twisted.

Kikazi ..kimuziki yani huezi mlinganisha 20% na Jaba....
Kuhusu usela mavi ama bangi za 20 n.k siongelei hayo kwa sasa kwani naamini kua 'No one is Perfect' wamekufa wakina Whitney kwa drugs sembuse 20% ??
Mkaushie mwana.

Ila ukitaka tuongelee mambo hayo basi mbona hao wakina diamond wana element za kishoga shoga kuvaa nguo za kike na pedo za kike mbona hatusemi??
Si bora jamaa anapiga bange zale anavunga anaishi maisha yake kuliko hao machoko wanaoendekeza ushoga kisa njaa.
 
Kumbe nilidhani najadili na mtu mwenye akili timamu kumbe najadili na mtu ambaye hajielewi nimejiepusha kutumia matusi sana japo toka reply yako ya kwanza still nikakujibu bila tusi sasa naona unaleta usela nyaa.
Inflation ya dollar haihafikia that extent unayotaka kujiaminisha.
Any way good day maana sijapenda lugha unayotumia kuwasilisha hoja zako
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom