Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Live toka hapa Dodoma . Sitta kwa mara nyingine amezima issue ya kutaka hoja iende Bungeni kwa kusema anashauriana na Serikali na anatatoa majibu baadaye . Hii ni baada ya wapinzani kuanza kuibana...
0 Reactions
101 Replies
13K Views
Hapa mapaparazzi wameniacha hoi kabisa. Wameshindwa nini kumwambia mheshimiwa kwamba kasahau kufunga zipu yake? Mheshimiwa katoka kwenye loo, karudi haraka kupiga picha na hawa wakurugenzi baada...
0 Reactions
30 Replies
7K Views
Add me as a contact on YouTube. Kwa watumiaji wa YouTube sasa kuna feature mpya ambapo unaweza kumtumia mtu video ndani ya YouTube, Unaweza kubonyeza hapo juu kama umeshajisajili youtube
0 Reactions
2 Replies
1K Views
wadau kuna mshikaji mmoja anaitwa Billy Sepenga huwa anakuwa na Sam Misago kwa dakika kadhaa kwenye kipindi cha FNL eatv kila ijumaa usiku. je huyu jamaa ni nani? nimeanza kumfahamu siku hizi.
1 Reactions
33 Replies
8K Views
Rappa Nikki wa Pili kutoka kundi la Weusi ameweka wazi na kukiri aliamua kuokoka baada ya kutoka mtaani na kurudi shuleni baada ya matokeo ya awamu ya pili (Second Selection) kutoka na kumrejea...
1 Reactions
24 Replies
6K Views
Katika hali ya kustaajabisha mrembo wa dar anayetisha kunako choo ametupia katika ukurasa wake wa snapchat akiwashukuru kigali kwa kumuingizia $10,000. Jamani kwa umbumbumbu wangu mwenye kunijuza...
2 Reactions
69 Replies
14K Views
While browsing and surfing on the internet, I came across these fascinating photos of this kid from Dar es salaam. Fresh, cute and full of swags is what caught my attention from this little...
7 Reactions
37 Replies
7K Views
Salaam jf As usual wazazi mwenza wa mondi bin laden aka chibu dee aka simba baba Abdul,au baba latifa Leo wameendeleza drama na kutuacha wambea wa snap chat name IG hooii baada ya Mama watano...
12 Reactions
219 Replies
23K Views
Mwanamuziki wa kizazi kipya TID maarufu kama ' mnyama' amesema panapo uhai mwaka 2020 atagombea ubunge katika jimbo la Kigamboni kupitia chama chake cha sasa CCM. Source EATV habari!
0 Reactions
38 Replies
4K Views
Washindi wa Tunzo ya Kimataifa ya "Malkia wa Nguvu" kwa umoja wao wamemtumia salamu za rambirambi The Boss Lady Mrs. Diamond Chibu kwa kufiwa na mumewe wa zamani Ivan. Kiasi cha rambirambi...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Hawa wasanii sijui hata wanapataje airtime katika vyombo vya habari... 1.Chin Beez 2.Amber Lulu 3.Gigy Mahela 4.Makomando Ongezea wengine.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Mwanamke raia wa Burundi wa kabila la Kihutu aitwae Jesca amempa wiki moja msanii wa muziki maarufu nchini Tanzania Diamond platinumz siku mbili awe amepeleka pesa za matunzo na watoto wake...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
This guy is a business genius. At the rate that he is going he could very well be hip-hop's first true billionaire. He is once again the highest paid hip-hopper while his once upon nemesis and...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Kuna wasanii mimi binafsi nawakubali sana lakini sijawahi jua sababu za wao kutopata umaarufu wanao stahili. Wasanii hao ni.. 1. Niki Mbishi 2.Cliff Mitindo 3.Rogers(BSS) 4.Grace Matata 5.Steve...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Rapa B.o.B wa nchini Marekani hivi karibuni ameanzisha kampeni ijulikanayo kama "GoFundMe" ikiwa na dhumuni la kuudhibitishia ulimwengu kuwa dunia ipo flat na si mviringo kama ambavyo wanasanyansi...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Dar es Salaam. Mashabiki wengi wa muziki nchini bado wapo katika sintofahamu juu ya sababu ya kuvunjika kwa kundi la Yamoto Band, mwanamuziki Mh Temba ametoboa siri hiyo. Tangu kusambaratika kwa...
1 Reactions
1 Replies
3K Views
Msanii wa Bongo Mh. Temba amedai kuwa chanzo cha kundi la Yamoto Banda kusambaratika ni baada ya watu wenye fedha kuingia kati. Temba ambaye alikuwa msamamizi na mmoja ya waanzilishi wa kundi...
0 Reactions
20 Replies
7K Views
Kevin Hart, ni American actor, alikutwa na skendo ya kumpa mimba binti mwingine wakati mke wake akiwa ni mjamzito. Mke wake amejua, na jamaa akaomba msamaha kwa familia yake pamoja na fans wake...
3 Reactions
43 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…