Malkia wa Nguvu: wampa pole Zari

blessings

JF-Expert Member
Jul 9, 2012
7,418
7,075
Washindi wa Tunzo ya Kimataifa ya "Malkia wa Nguvu" kwa umoja wao wamemtumia salamu za rambirambi The Boss Lady Mrs. Diamond Chibu kwa kufiwa na mumewe wa zamani Ivan.

Kiasi cha rambirambi walichotoa kitatangazwa baadae.
 
Washindi wa Tunzo ya Kinshasa ya "Malkia wa Nguvu" kwa umoja wao wamemtumia salamu za rambirambi The Boss Lady Mrs. Diamond Chibu kuwa kufiwa na mumewe was zamani DR. Ivan. Kiasi cha rambirambi walichotoa kitatangazwa baadae.
Sawa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom