Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Kwa kweli huyu mama anahitaji washauri maana navoona hana mshauri mzuri, ni mama mtu mzima but mambo anayofanya na kupost kwny acc yake ya IG haya aksi kabisa umri wake. Amekuwa mtu wa vijembe na...
12 Reactions
189 Replies
19K Views
Tufurahie warembo wa makabila yetu ili kutunza utamaduni wa MTANZANIA jambo ambalo naimani hata hao wazungu watalifurahia kama tunavyo furahia na kuinga warembo wao.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hivi jamani, Mama terry, yule mama muelimishaji/Muhamasishaji wa kujikinga dhidi ya madhira ya gonjwa Ukimwi yu wapi????? Nimemkumbuka gafula!!!!!!! Mwenye taarifa tafadhali!!!!!
0 Reactions
24 Replies
9K Views
producer mkali, Dj mkali, na pia ni mwandishi mzuri wa mashairi ya muziki hapa namzungumzia dj khaleed (Daverneius Jaimes) kwa upande wa hukoo, ughaibuni nchini marekani. ni miongoni mwa ma-dj...
4 Reactions
39 Replies
7K Views
/ebu nicheki ninavyong'araa/ /akipendacho binti,lazima mwanaume atanunua/ Ninaposkia hiyo mistari namkumbuka gwiji wa michano kutokea Morogoro ambaye alikuwa hasimu wa Afande selle. Pia ni moja...
14 Reactions
155 Replies
32K Views
Wasanii Wanaosikika Sikikaa Kwenye Miondoko ya Hip Hop Kipindi Hichi ni Kama : Tammy The Baddest Rosa Ree Chemical Miss Kiki Pink
0 Reactions
28 Replies
8K Views
Mwanamitindo asieisha vituko "calisah" amesema 'amekusudia kufungua duka la kuwapachika mimba wanawake wanaopendabkuzaa watoto wazuriwazuri kama yeye' Bongo bwana bila kiki hapaendi anyway wishing...
1 Reactions
42 Replies
8K Views
siwezi kumsahau huyu jamaa mwishoni mwa miaka ya 90 na mwanzoni mwa miaka ya 2000; ruff ryders anthem what's my name party up i miss u here we go again we right here n.k. hakika tulipagawa na...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Kwanza kabisa napenda niwatakie Sabbatical njema, pili leo ni Nyerere day, nitamuenzi baba wa Taifa kwa njia hii. Kwanza naomba nikiri huyu Zari mimi namsikia jina tu sijawahi kujuwa hasa kwa...
20 Reactions
267 Replies
24K Views
Tanzanian showbiz couple Diamond Platnumz and Zari Hassan have reportedly broken up. This is after the Ugandan socialite deleted all the photos she had taken with Diamond. Diamond had over the...
0 Reactions
30 Replies
6K Views
Inatia moyo Kuona Mnyamwezi Big Celeb worlwide kutoka State anatia Like kwenye post ya mtotobwa Tandale dooh hii ni dalili njema...kama Davido alipiga kelele tu kwa kuwa Followed by Cr7,basi hii...
1 Reactions
21 Replies
4K Views
Karibu nyimbo zote za huyu kijana nilizozisikia ametumia neno MOYO kwenye mistari yake. Kuna wimbo ambao hajatumia hili neno kweli??
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Wakubwa hiki kitu naona imenifika kohon sababu ya hawa jamaa wa Eatv radio kuwa na kuhelehele cha kumhoji na kumpost nshu za calisah kila siku yaan kila wakipost huko twitter ni kuhsu calisah tu...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
  • Closed
Mambo vipi wapendwa. Napenda kuwapa tetesi zinazoabza kusambaa mtaani kuwa mange hajulikani alipo na account yake ya insta imedukuliwa na "watu wasiojulikana" hii ni baada ya kuanza kupost matusi...
1 Reactions
196 Replies
33K Views
Binafsi nimeipenda hii video binti akichukua Karanga kidigital
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nashangaa Tanzania tulivyo. Hivi karibuni msanii wa mziki Diamond Platnumz ametwaa mataji kama mawili huko Marekani ambayo ni moja ya kuletea umaarufu nchi kimuziki pia kuonesha kuwa anaweza kwa...
9 Reactions
70 Replies
8K Views
Yaaani kiukweli mwanzoni hiki kipindi cha shilawadu kilikuwa kinaonekana ku take over vipindi vya burudani kiasi kwamba ikaonekana kwamba kipindi pinzani cha ijumaa Friday night live chaliii...
3 Reactions
26 Replies
4K Views
Ama kweli WCB ni kisima cha burudani ,huwa hawaaribu kazi hata siku moja kila ngoma wanayotoa ni fireeeeeeeee. Hii ngoma mpya ya Konde boy ft Korede Bello ijulikanayo kama Shulala ni moto wa...
8 Reactions
29 Replies
6K Views
Sina uhakika kama hii thread ipo sehemu yake, ila mambo kama haya sisi watumishi tunakutana nayo sana. Siwezi kuita ni IBilisi. HUu ni uumbaji wa Mungu. Ila tunahitaji maombi. Sisi Ni binadamu pia.
1 Reactions
11 Replies
6K Views
  • Closed
Amanii eh wakuu account ya Mange Kimambi haipo tena insta. Ishara zilianza tokea juzi watu walivoanza kusema huyu sio Mange baada ya vitu vya ajabu kutokea kwenye ile account hatimaye na mchana...
15 Reactions
431 Replies
66K Views
Back
Top Bottom