Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Ndugu wanajamvi nimeusikiliza wimbo wa msanii anajiita ZAIID unaitwa wowowo. Ni msanii mzuri aliyekuja na wimbo mzuri sana lakini cha ajabu hapati promo kwenye media za Tanzania hata kidogo. Nina...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Mimi ningependa kuwaoona watangazaji wafuatao kuwa kituo kimoja cha habari hapa Tanzania ili kuunda Timu ya hatari CHARLES HIRLARY IVONA KAMUNTU ZUHURA YUNUS BARBIE KABBAE MILARD AYOO MASUD...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Msanii anayefanya vizuri na kuitangaza bongo flavour kimataifa na hitmaker wa "Hallelujah" Diamond Platnumz hivi punde atakuja na Album yake mpya iitwayo "A boy from Tandale" Na bila kusahau...
2 Reactions
43 Replies
16K Views
The BET Hip Hop Awards were taped in the 305 this past Saturday and aired tonight [Oct.10] on BET. Per usual, one of the highlights was the cypher and Em came back from 'retirement' and dropped...
7 Reactions
46 Replies
6K Views
Huyu binti mavazi yake naona hayapo kimaadili hasa ikizingatiwa kuna baadhi ya familia zinapenda kufuatilia tamthilia ya siri za familia mara baada ya kumaliza suzzy na sam wa misago ni jambo la...
4 Reactions
101 Replies
24K Views
Inasemekana daimond alivyokwenda south akamchukua Nillan na kwenda kupima nae Dna kimya kimya majibu yakatoka 99%sio wake,, Wabongo tulikataa kua mbona huyu mtoto anamfanana marehemu ivan,, Team...
15 Reactions
240 Replies
53K Views
Mr Nice Akitoa ushauri kwa Wasanii wenzake na pia kuwa bado yupo kwenye Game
0 Reactions
24 Replies
6K Views
Mtoto wa Magu huyo huko Snapchat...... babake yuko huku anatupigia kelele eti Watu walikuwa na pesa za kuchezea sasa zimeondoka, Mbona mwanae bado ambazo pesa za kuchezea mpaka anazimwaga kwenye...
7 Reactions
85 Replies
31K Views
Diamond Azomewa na wana Uganda katika Show yake Wamwambia Arudi Tanzania Hatukuelewi
1 Reactions
63 Replies
11K Views
Kumekuwa na taarifa mbalimbali zikiendelea kusambaa juu ya Nay Wa Mitego kufulia mpaka kufikia hatua ya kuuza magari yake yote na sasa ameonekana mara kadhaa akitembea na bajaji hali ambayo...
4 Reactions
34 Replies
10K Views
Naona ameamua kuwa prove wrong mlokuwa mnamsema sema eti havaagi chupi kwa kuwaonyesha laivu [emoji39][emoji39][emoji39]
1 Reactions
99 Replies
13K Views
Jamaa anatia huruma asee,,huwez amini ila ndo hivyo tena..
1 Reactions
12 Replies
3K Views
  • Closed
Mashabiki wa Lemutuz wamemtaka gwiji hilo la mitandao ya kijamii kuwa makini na mrembo Hamisa Mobeto hasa kutokana na tabia yake ya mrembo huyo kutegeshea mimba kwa watu wenye ukwasi kama...
3 Reactions
234 Replies
26K Views
Habari za kunyapia nyapia Wolper na yule serengeti boy wake sasa wameshagawana hamsini hamsini baada ya kiben ten kupost picha ya mahaba akiwa na mwanamke mwingine. Hizi ni baadhi ya picha...
1 Reactions
78 Replies
13K Views
Haya sasa, kaeni mkao wa kula, dude la mdogo wetu Diamond na mnyamwezi wa Maybach linakuja
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Hiyo ndi simu ya Dangote, inaitwa Nokia Vertu Signature. Bei yake ni $5000-$7500. Convert kwa pesa ya madafu, km 16.5M/= hivi.......Alhaji sio mtu wa kisport sport [emoji124]
17 Reactions
208 Replies
95K Views
Toka nianze kumsikia Mange Kimambi mtandaoni, nimeona asilimia kubwa ya watu huamini kila anachosema. Kwanini kila habari yake inakuwa verified kuliko nyingine? Au ni watu ni ile tabia ya...
6 Reactions
126 Replies
12K Views
Hizi tuzo alizoshinda naomba tu iwe fundisho kwa wengine kutomsingizia uongo mtu. Hizi tuzo zinatoa tafsiri ya kuwa anao mashabiki wengi duniani. Hao views ni wachache kuliko kuliko waliompigia kura.
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Hitmaker wa Seduce Me, Alikiba amefunguka juu ya mahusiano yake na Mange Kimambi. Mara kadhaa Mange amekuwa akimpa support kubwa msanii huyo huku akimtetea kwa kila hali endapo hali ya...
10 Reactions
30 Replies
9K Views
Back
Top Bottom