TAZAMA Mwenyewe Zari The Boss Lady Ilivyokuwa Shangwe katika uzinduzi wa Mall | Dar Es Salaam

Kuna watu walisema Zari leo ataamka na madongo kwa Hamisa, lol...wameishia kumsema kazeeka baada ya kuona haikuwa walivyotarajia. Poor them.
Sometimes its healthy to be positive hata kwa adui yako.
 
Hamisa mobbeto ni mfano wa makosa tunayofanya sana wanaume tunadanganywa na vitu au vivutio vinavyoonekana kwa macho...ambavyo havidumu..vitu kama chuchu a sita,sura au chura....hvi havidumu...chura utaikinai,chuchu zinakuwa malapa,sura inajikunja hyo...but qualities like heshima,uvumilivu,busara na kujielewa they last for a lifetime....hamisa kule kichwani amajaza ukinga aliorithi kutoka kwa mama yake...zari is classy...
 
Mkuu pata mchuzi wa ngisi ntalipa
 
Mkuu wewe mdio umeua kabxaa
Hayo maneno ni swadakta......
Kwa mwanaume mwelewa hapo ndipo apate funzo
 
Dah na huu ndio ukweli mchungu...Zari is classy kuliko mademu wote aliowahi kutembea nao Diamond. Sio siri mie ningetulia tuli tufanye maisha fuckk the internet.

Ila wanaume sijui huwa tunalogwa sometimes, najiuliza inakuwaje Diamond anamchanganya Zari na uchafu wa K' kama Hamisa. Alichokosa ni kipi yani? Mbaya Hamisa alishazaa na mtu mwengine akaachwa kwa ujuaji wake still D kazaa nae tena yani,,, ni upumbavu wa kiwango cha Standard Gauge kuzaa na mwanamke asiye na akili kama Hamisa. Nimemshusha vyeo sana jamaa so far. That was a hell of a stupid move!
 
bora nianze kushabikia hizi team aisee maana stress za EPL ni konyo
*Juventus* lost
*Monaco* lost
*Dortmund* lost
*Chelsea* lost
*Arsenal* lost
*Man U* draw

Hapo ndio utaelewa kwamba *kubet* ni mchezo wa kubahatisha
 
Back
Top Bottom