Ila shoga angu kiboko khaa, warumi mie napenda ushirikina ila shoga angu umezidi, kwa hiyo wewe na kina wema na lulu kila wiki nyie mnaenda kuroga? Kwa hiyo na nyie kwenu ilikua kama ibada kila...
Baada ya mwanadada Jokate Mwegelo kuteuliwa kuwa mkuu wa wilaya ya kisarawe picha ya mtangazaji "Mussa Kipanya" akiwa na Jokate Mwegelo miaka hiyo enzi za ujana wao imeibuliwa na kusambaa kwa...
Msaada kwenye tuta...
Natafuta lyrics ya wimbo wa JOSE MTAMBO FT BELLE 9_Naongea na roho.
Napataje wadau,au kuna mwenye uwezo wa kushusha hata vesi 1 tu.
Asante.
#forgive me.
KIMEUMANA🚨‼️
Hii imetoka kwa Rapa kutoka Kanada, Nav mke wa Nav ameshikwa na sitofahamu baada ya kuwasilisha kesi ya talaka akihitaji kupewa nusu ya utajiri wa Nav ambao ni zaidi ya dola milioni...
Mrembo Loveness Tarimo ambaye ni Miss Fitness 2019 amezua gumzo kuhusiana na jinsia yake.
Wengi hawaamini kama Love ni mwanamke kulingana na namna anavyojiweka ,sauti yake ,kifua chake ,mpaka...
Huyu jamaa anajiita Manara anaoa kwa lengo la kujipatia pesa Ila sio ili akae na mwanamke .
Naomba wadau kuanzia Gsm, wasafi na serikali msinchangie tena Manara
Endapo akitaka kuoa mwambieni...
Inadaiwa Haji na Mkewe Zai, wanamtuhumu MaiMartha Jesse kwa kumtusi Mkewe Zailyisa kupitia mahojiano na Online Tv yake ya Mai Tv, kuwa ni mwanamke asiyefaa kuwa mke wa Mtu kutokana na kitendo...
Hamisa Mobetto ajitabiria kuwa baada ya miaka mitano atakuwa mwanamke wa ndoto yake, atakua kiuchumi, mwenye furaha na aliyefanikiwa
Baada ya kutoa kauli hiyo walimwengu wameenda mbali na kusema...
Bibie sasa anataka kuweka Hadharani Jambo lako na yule Tajiri wa Dubai (sasa Marehemu) na Tajiri wako wa sasa Dar es Salaam. Haji Manara kwa bahati mbaya Wanahabari wengi (hasa wa Michezo) wanajua...
NI kijana mdogo mwenye ndoto kubwa ya kufanikiwa kimuziki. Anajiona anaweza, wanaomsikiliza pia wanamwambia anaweza japo hawakosekani wa kumsema kwamba analazimisha fani.
Kuambiwa huwezi ni kitu...
"Namshukuru Mungu kwa kunitoa gizani na kunielekeza kwenye mwanga. Ilikuwa uamuzi mgumu sana, lakini leo nimesimama nikiwa na nguvu zaidi na nimejaa azma kuliko wakati wowote. Nimebarikiwa na...
Tuseme tu ukweli, couple ya Haji Manara na ZaiyLissa ni couple inayokuwa kwa kasi sana na wakiendelea hivi hivi huenda ndio ikawa couple yenye mvuto zaidi hapa nchini.
Zai na Haji wanapendezana...
Wahenga wanasema mapenzi ni kikohozi hakiwezi kufichika .
Inaonekana Zainabu fundi sana naona ndugu yetu Haji Manara kakolea na penzi analopewa na Zai mpaka kaamua kuvunja kiapo chake cha...
Mke wa Ashraf Hakimi amempeleka mahakamani ili kupata talaka na alitaka Mahakama iwagawanyishe mali.
Baada ya Talaka kufanikiwa na kukubaliana kugawana mali, ikagundulika kuwa Ashraf Hakimi...
Wazoefu mtwambie,
Huyu mwanamama KISSA SINS atakua anakula lishe ya namna gani,
Maana ni amegoma kabisa kuzeeka.
Miaka inaenda bado namuona yuko vile vile tu😊
Wasalaam wakuu,
Niko katika harakati za kutafuta mtu wa kuishi naye maisha yote nitakayoishi kwenye hii sayari. Kuna huyu dada anatanganza Morning Trumpet wa Azam TV, ana sura nzuri, rangi safi...
Habari, Jana msanii tajika sana nchini Tanzania, Afrika Mashariki na kati na pengine kuliko wote kusini mwa jangwa la Sahara Naseeb Abdul, maarufu kama Diamond Platnumz, alisaini dili kubwa na...
Baada ya kutizama kwa kina nyimbo za Diamond Platnumz zilozofungiwa na BASATA, Hallelujah, Wakawaka na nyinginezo sikuona kosa la kimaadili
Miaka ya nyuma BASATA ilichukua uamuzi wa kufungia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.