Ngoja niwamegee ubuyu ;Kolabo na Rick Ross ndiyo iliyomfanya Diamond asifanye show ya bure mlimani

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Sep 7, 2016
17,463
21,192
Ingawa wengi hamjui kilichomfanya Daimond asifanye show pale mlimani lakini ukweli ni kwamba ile kolabo na Rick Ross ndiyo sababu kuu iliyomfanya Diamond asifanye show ya bure.

Diamond anataka watu mzidi kummiss ili hata akitangaza show ya 50K muweze kwenda. Laiti angeenda Jana kwa vyovyote vile mngetaka aimbe na ule wimbo alioshirikiana na Rick Ross kitu ambacho kingemtia hasara.

Diamond bado hajatengeneza pesa kupitia huo wimbo na ukizingatia hata wiki bado haujafikisha halafu akubali kweli auimbe bure bure.
Mnajua amempa Rick Ross sh ngapi afanye naye kolabo?

Basi hii ndio sababu ya diamond kuwatosa kwenye show yenu ya bure.
Subirini show kubwa ataifanya kwa pesa ndefu na mtakuja tu.

[HASHTAG]#Diamond[/HASHTAG] are forever#
 
Alitaka 3 hrs of performance na bwana makonda akakataa hilo kwa lengo la kutaka kuumiza wengine baadae
Mwakani fiesta ikifanyika chamazi in azam complex nakuapia haitovuka sa 6
 
Ingawa wengi hamjui kilichomfanya Daimond asifanye show pale mlimani lakini ukweli ni kwamba ile kolabo na Rick Ross ndiyo sababu kuu iliyomfanya Diamond asifanye show ya bure.

Diamond anataka watu mzidi kummiss ili hata akitangaza show ya 50K muweze kwenda. Laiti angeenda Jana kwa vyovyote vile mngetaka aimbe na ule wimbo alioshirikiana na Rick Ross kitu ambacho kingemtia hasara.

Diamond bado hajatengeneza pesa kupitia huo wimbo na ukizingatia hata wiki bado haujafikisha halafu akubali kweli auimbe bure bure.
Mnajua amempa Rick Ross sh ngapi afanye naye kolabo?

Basi hii ndio sababu ya diamond kuwatosa kwenye show yenu ya bure.
Subirini show kubwa ataifanya kwa pesa ndefu na mtakuja tu.

[HASHTAG]#Diamond[/HASHTAG] are forever#
Uko vizuri mtaa huu
 
msemaji mkuu wa diamoni kupitia WCB kapatikana.hitakuwa ndo wewe
 
Mmarekani hakuwa kwenye fomu yake kabisa kwenye hili kolabo, sijawahi msikia Mmarekani yule akiwa kwenye kolabo mbovu kiasi hiki, Mmarekani ameniangusha sana, ngoja nisubiri video probably it will prove me wrong
 
Back
Top Bottom