Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Celebrity Mwijaku ametoa zawadi ya Eid kwa kulipia Kodi za nyumba jamii Maskini 1000 kwa miezi 12
2 Reactions
30 Replies
2K Views
Imenishangaza kuona ule ugomvi wa mganga maarufu wa miaka hiyo nani hakumfahamu Dr Manyaunyau? Akipigwa na mganga mwenzie mabanzi ya kutosha huku akitishiwa kubutuliwa na risasi pia wakiwa msibani...
5 Reactions
19 Replies
1K Views
Mwana yupo jela kwa Kesi ya unga, yule slay qeen karudi tena kwenye game la kukaa uchi Insta... she belongs to the streets. Mwanzo aliolewa akapotea mtandaoni na akabadili na Dini mixture kuvaa...
12 Reactions
125 Replies
10K Views
Miss Tanzania Namba 2 Mwaka 2006, Jokate Mwegelo maarufu kama Kidoti amesema kuwa katika mahusiano yake ya kimapenzi alitokea sana kumzimikia Hasheem Thabit kuliko Wanaume wote aliowahi kutoka...
12 Reactions
282 Replies
61K Views
Kupitia harusi ya Jux kule Nigeria nimepata somo kubwa sana. A: 1. Nigeria 🇳🇬 wanaheshimu sana mila 2. Nigeria 🇳🇬 ni wachangamfu sana 3. Nigeria 🇳🇬 wana vibe kubwa 4. Nigeria 🇳🇬 kwenye...
5 Reactions
15 Replies
1K Views
Stori Imelda Mtema na Erick Evarist | Gazeti la Uwazi PENZI motomoto kati ya mwanamuziki wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul ‘Diamond' na Mrembo Nambari 3 wa Tanzania 2006, Jokate Mwegelo...
1 Reactions
33 Replies
8K Views
Mcheza filamu za ngono maarufu duniani Gizelle Blanco (miaka 23) aliyeoana mcheza ngono mwenzake Roman Nomar (miaka 48) july mwaka Jana amesema "Pamoja na furaha kubwa tuliyo nayo ndani ya ndoa...
35 Reactions
424 Replies
43K Views
Inasikitisha Groomsmen wa Jux kuvaa Pink tena vazi la Nigeria! Tuwaeleweje? Bora hata mngevaa lubega la kimasai.
2 Reactions
43 Replies
2K Views
Hivi ni nani ambaye ametuvuruga akili na kukosa utu kiasi hiki? Ni nani ambaye anaweza kutumia japo 5% ya akili yake kutambua kuwa sio kila kinapaswa kuwa Spotlight mitandaoni? Ni mtu yupi...
9 Reactions
28 Replies
2K Views
Kama picha zinavyojieleza, mlimbwende huyu atinga kwa mjengo kwa mwaliko maalumu.. Kwa kasi hii ya awamu ya tano, inayoongozwa na kiongozi makini, akisaidiwa na watu makini kama Prof Kabudi, Job...
7 Reactions
249 Replies
31K Views
Wakuu, Nashawishika kuomba nisaidiwe na wanajamvi kuhusu msanii huyu wa Bongo movies ambaye habari zimekuwa zikienea kuwa ni actor mzuri wa picha za wakubwa (porn movies). Kwa yeyote...
1 Reactions
23 Replies
11K Views
Zayed Bakhresa akiwa na kinywaji chake Red Bull mkononi. Kwanini hatumii Azam Energy? Tutafute hela kwa nguvu zote wakuu!! Anyway hii gari ndio Feitoto aliomba apigie nayo picha
19 Reactions
81 Replies
5K Views
"Ilinisikitisha sana kuona mwanaume akipigwa makofi na kudhalilishwa namna hiyo tena na Mwanaume mwenzake. Taswira hiyo imeumiza sana nafsi yangu. Ilinikasirisha sana. Naumia sana kuona mtu...
1 Reactions
4 Replies
513 Views
Ameandika makamu wa rais Yanga SC Arafat Haji kupitia ukurasa wake wa Instagram. “Wanaweza kusababisha kifo chako na bado wakaja msibani kujiliza sana, wanaweza kukusababishia matatizo na wakawa...
3 Reactions
10 Replies
640 Views
Siwezi kuongea kwa niaba ya watu wenye asili ya africa wote wanaopenda hip hop, wawe wabongo, wamarekani weusi, waingereza , n.k, lakini wacha nitoe maoni yangu, Eminem is the goat (great of all...
18 Reactions
159 Replies
57K Views
Harmonize Ni msanii mzuri aliyekosa focus ajui kipi Cha kusimamia na kipi cha kusimamia leo atakuja na hili kesho yake atakuja na lingine ataacha la mwanzo.Alivyotoka wasafi alianzisha bus la...
28 Reactions
72 Replies
11K Views
Alianza kuimba tangu akiwa shule wakati anasoma sekondani ndipo akajiunga na Tanzania House of Talents (THT) ila alitoka kimuziki chini ya M Lab (Music Laboratory) na sasa ni miongoni mwa waimbaji...
13 Reactions
35 Replies
3K Views
habari wadau.. nimeona kwenye habari hashim lundenga anaomba serikali imsaidie kutafuta wafadhili wa miss tanzania.. kama yupo humu au jamaa yeyote aliyopo humu amfikishie huu ushauri. ni...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Mrembo maarufu mtandaoni Sanchword amebadili dini na kuwa muislam rasmi na kuitwa Surraiya Evarist Rimoy. Sanchi binti wa kichaga mwenye shepu matata amekuwa akifunga ramadhani wakati bado...
34 Reactions
285 Replies
50K Views
Hello Wakuu Leo Rapper Eminem amefikisha Miaka 51 ya kuzaliwa Ili kusherekea sikukuu sio vibaya tukashare mstari katika wimbo wake unaokukonga roho hadi kesho Mimi naanza na hii kutoka 'Not...
4 Reactions
6 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…