Mjukuu wa Bakhressa akiwa na kinywaji cha Red Bull mkononi na sio Azam Energy

Teko Modise

JF-Expert Member
May 20, 2017
2,396
7,877
Zayed Bakhresa akiwa na kinywaji chake Red Bull mkononi. Kwanini hatumii Azam Energy? Tutafute hela kwa nguvu zote wakuu!!

Anyway hii gari ndio Feitoto aliomba apigie nayo picha
IMG_6195.jpeg
 
Mkuu ni kwamba hatumii au hajapiga nayo tu picha, je wewe unamfahamu kiundani kiasi cha kujua kwamba hatumii hicho kinywaji, au unataka kusema kwamba alipaswa kupiga nayo picha ili aitangaze hiyo bidhaa
 
Back
Top Bottom