Sina nia yakumdhalilisha au kumtusi au kumdhihaki Mange Kimambi lakini huwa najiuliza huyu dada kweli yuko sawa kiakili? Ukiangalia matendo yake, maneno yake, haiba yake na maandishi yake unapata jibu moja tu kuwa huyu lazima atakuwa na tatizo la afya ya akili. Naomba wadau wa humu ndani ambao wanataaluma ya afya ya akili wajaribu kunisaidia kumuelewa huyu dada.
Haiwezekani binadamu ukawa na chuki kwa kila binadamu mwenzako kisa tu amekuzidi kwa jambo moja au lingine. Haiwezekani ukawa na hasira na chama chako na Raisi wako uliyempigania kwa nguvu zote kisa tu 'kashfa' uliyojaribu kuileta mbele ya jamii (ya January Makamba) ilikufa kibudu. Na hivyo basi kuamua kila jambo sasa limekuwa baya kwa serikali na Raisi wako.
Haiwezekani wewe nikutukana watu hata ambao hauko kwenye ugomvi nao kisa tu umechokozwa na wale uliogombana nao au kwasababu tu wanamahusiano nao.
Hamna ugonjwa mbaya kama wa wivu na chuki. Ukiwa na vitu hivi wiwili kila wakati utajaribu kadri uwezekanavyo kuwashusha wenzako ili ujipandishe. Hili nionavyo mimi, ndio Mange Kimambi anajaribu usiku na mchana kulifanya. Ana inferiority complex ya hali ya juu sana. Kwa 'usomi' wake standard anaongaliwa nayo ni tofauti na mtu mwingine. Dada yangu samahani kama nimekukwaza lakini inabidi ubadilike. Kwa UPANGA uleule unaotumia 'kuwarekebisha' wengine hata kwa vitu ambavyo si vya kweli ndio UPANGA huo huo tunautumia kujaribu kukurekebisha wewe. Merci.