Kila nikimsikia akifanya ' mahojiano ' yake ya Media mbalimbali hapa Madafuni / Tanzania utamsikia Msanii Ben Paul akitamba / akijifaragua / akijishebedua / akijimandingondingo kuwa Yeye ni Mfalme...
Msanii wa Filamu Bongo, Irene Uwoya amefunguka kuhusu tabia ya baadhi ya wanawake kutopenda mafanikio ya wazao badala yake wapo tayari kushuhudia wenzao wakishindwa.
Muigizaji huyo amesema watu...
Salaaam wanajamvi.
Kwa wale watumiaji wenzangu wa mtandao wa kijamii wa instagram wengi wenu mtakuwa mmemfollow mwanadada machachari anaeweza kuikosoa serikali bila woga:- Mange Kimambi...
Divorce act inahusu watu walio nje ya ndoa pia: NENO TARAKA LIMETUMIKA KWA KUKOSEKANA KWA TAFSIRI YA KISWAHILI
NOTE: PLEASE, SOMA ARTICLE NZIMA KABLA YA KU COMMENT ILI KUELEWA MADA.
Vyanzo vya...
Wasanii Aslay na Nandy wamepigwa faini ya milioni 5 kwa pamoja kutokana na kukiri, kukubali kosa kuimba wimbo wa 'Subalkheri Mpenzi' bila kufanya mawasiliano na wamiliki wa wimbo huo ambao ni...
1.Vanessa mdee
Huyu pamoja na kuwa na jina kubwa ila hana lolote kiukweli anaboronga sababu nyimbo nyingi anajifanya anaimba kizungu. Huyu dada ukisikia ameenda nje ya nchi ni kutafuta collabo au...
Kwa ninachokiona hapa Escape 1,ni tofauti kabisa na kile kilichokuwa kinapewa promo na Clouds,kwamba hii ndio show kubwa ya kwanza 2018....mmmmmmhhhhhhhhh,jamani LIVE band itabaki kuwa ni ya...
Ndugu wadau mimi ni mpenzi wa TV 1 hasa kwenye kipindi tajwa hapo juu huwa nakipenda sana japo kinaonyesha ni cha muda mrefu huwa nikiangalia napata maswali sana moja ya swali ni Yule kiongoz wa...
Huyu dada kila ukitaja wasanii wa hip hop wa kike hapa Tz huwezi kumkosa.
Lakini personally uwa anavyo flow naona kawaida sana hata mistari yake naona myepesi tu.
Wimbo nilioukubari ni up in the...
Mangekimambi: Mgonjwa wenu huyo, December 20 2017 aliposti hii video anakata mauno. Rayvanny akarepost kwake.
Alivyoanza kulia mguu unamuuma akaifuta hii video fastaaaaa ili watu wasione kuwa...
Wasanii wetu siku hizi wanaiga utamaduni wa kimagharibi, sijui tunawajengea nini watoto wetu. Hii imekaaje wasanii hawa kupaka rangi kichwani mwao haswa ukizingatia ni wasanii wa kiume hawa!
Wasalaam wana jamvi....
Wachumba wa Zamani Diamond Platinumz na Zari wanatarajia kuandika historia nyingine kama ilivyo kawaida yao pale uwanja wa uhuru ambapo kutakuwa na matukio mengi sana...
Ukiwa hauna pesa unaweza ukajiona wewe ndiye mtu mwenye matatizo pengine kuliko watu maarufu unaowaona kila siku kwenye runinga au kuwasikiliza redioni, lakini ukweli ni kwamba maisha hayapo hivyo...
Mwanadada anayefanya vizuri katika sanaa ya muziki wa Bongo Fleva na sasa anafanya vizuri katika mauzo ya albamu yake inayojulikana kama MoneyMonday, Vanessa Mdee maarufu kama Vee Money ametaja...
Hawa vijana wanaweza Sana. Bado wapo level ya chini na kazi zao zipo mtandaon pekee. Naomba utazame kazi zao utaona jinsi walivyo wabunifu. Ze comedy., mizengwe, vituko show lazima na nyie mfanye...