Ni sauti ya mdada gani ambayo huwa anasikika kwenye wimbo wa zali la mentali wa prof jay

kifimbocheza_

JF-Expert Member
Jul 14, 2017
1,119
1,095
Nimekuwa nikisikiliza huu wimbo ulitoka zaidi ya miaka kumi iliyopita. Ambapo prof alimshirikisha juma nature, but huwa kuna sauti ya kike huwa inasikika, ambayo kwnye video anaonekana Nargish Mohamed akifatilisha mashairi, au ndo mwenye sauti hiyo?
 
Muny.
Haya na wewe niambie ni sauti ya nani inasikika kwenye chorus ya 'Hayakuwa mapenzi' ya Sugu na yule mdada anaongea maneno gani?
 
Yule Alieonekana kama mdada mtoto wa kishua ndio huyo huyo alieimba anaitwa Nagis Mohamed aliwahi kushiriki filamu ya kanumba inaitwa Magic House. Ila huyo mdada aliwahi Pia kushiriki mashindano makubwa ya urembo nchin
 
Kwa nini umesema mtoto Wa kishua? Ni Wa kawaida tu alikuwa anaishi hapo k.ndoni block 41.baada ya umisi na ku act movie mbili tatu akajiendeleza kielimu akapata kazi benki
 
Capture.PNGrrrrr.PNG
 
Back
Top Bottom