Davis Mosha njoo Moshi bila CCM 2020 utapata ubunge

Naanto Mushi

JF-Expert Member
Oct 16, 2015
6,236
15,600
Sijui nimewazaje ila mara nyingine kuna watu wanakose karata zao, huyu bwana 2015 angekuja Moshi kwa tiketi hata TLP, ubunge angeupata asubuh na mapema. Kosa lilikuwa kuja kupambana na CHADEMA angali wewe ni CCM.

Unaweza ukawa mtu makini ila ukishavaa jezi ya CCM it become first disqualification. Na hii ni siri nawamegea na watu makini wengine wanaotaka ubunge. 2020 msiende kwa tiketi ya CCM, nendeni kwa tiketi ya vyama vingine vyenye misimamo ya kati.

Naona kabisa huyu mtu angeleta maendeleo Moshi, ila ilibidi acheze karata zake vyema 2015. Resources alikuwa nazo za kutosha kushinda Ubunge.

Mwingine ni Mtatiro huyu jamaa ana potential naona kama anakuwa mzembe sana kukamilisha mipango. Darasani ni wale wanafunzi wanaojua lakini wanafeli, na dawa yao ni kuwachapa makofi akili ikae sawa.
 
Huyo mosha ni mhuni Fulani hivi!!
HAFAI KABISA
 
Kwa jinsi upepo unavuma 2020 kutakuwa na idadi ndogo sana ya wabunge wa upinzani, na kuna uwezekano wengi wakahamia ccm kabla ya 2020
Kumbe basi tugombee kwa ticket za upinzani na baada ya miezi sita tunajivua na kujiuza kwa watani zetu kwa kiki ya kumuunga mkulu mkono napokea 0.3b Then narudi tena kupitia upande wa pili na uhakikishio wa 100% kushinda na kurudi mjengoni. Ushauri bure kwa Mosha.
 
Kwa jinsi upepo unavyovuma 2020 kutakuwa na idadi ndogo sana ya wabunge wa upinzani, na kuna uwezekano wengi wakahamia ccm kabla ya 2020
Hata sio kuhamia tu, kushinda kwa wabunge wa upinzani haswa chadema itakuwa mbinde.. ila kwa mtu kama Moshi kwa kuwa anaelewana na CCM hakuna wa kumchakachua Moshi mjini.. Hicho nna uhakika nacho
 
Mosha alishakata siasa Pesa zake anakula na Jamaa Zake

Mlikula hela zake sasa njaa imewakumba poleni sisi tupo Kwenye Rally tunapunguza stress na Don Mosha
 
Sijui nimewazaje ila mara nyingine kuna watu wanakose karata zao, huyu bwana 2015 angekuja Moshi kwa tiketi hata TLP, ubunge angeupata asubuh na mapema. Kosa lilikuwa kuja kupambana na CHADEMA angali wewe ni CCM.

Unaweza ukawa mtu makini ila ukishavaa jezi ya CCM it become first disqualification. Na hii ni siri nawamegea na watu makini wengine wanaotaka ubunge. 2020 msiende kwa tiketi ya CCM, nendeni kwa tiketi ya vyama vingine vyenye misimamo ya kati.

Naona kabisa huyu mtu angeleta maendeleo Moshi, ila ilibidi acheze karata zake vyema 2015. Resources alikuwa nazo za kutosha kushinda Ubunge.

Mwingine ni Mtatiro huyu jamaa ana potential naona kama anakuwa mzembe sana kukamilisha mipango. Darasani ni wale wanafunzi wanaojua lakini wanafeli, na dawa yao ni kuwachapa makofi akili ikae sawa.
Cc Salum Mwalim
 
Davis Mosha si rahisi.
Anza na Anna Mkapa mashine kubwa!
Ngome imara sana!
 
Back
Top Bottom