Hii album ya diamond "A boy from tandale" itaathirika vipi kwa kufungiwa hizo nyimbo mbili kabla haijatoka?

Principal Focus

JF-Expert Member
Jan 4, 2013
925
548
Habari wakuu,
Naomba kuuliza je diamond platnumz ataathirika vipi na hii album yake baada ya nyimbo mbili kufungiwa?

Au hakuna athari zitakazo jitokeza? Maana tarehe 16/3/2018 ndio inatoka.

Hili tukio sio kumkoa kweli? Maana alikuwa kapanga hivi na wengine wanafanya hivi.
Yani kirahisi twaweza sema what to expect when your expecting. Sidhani kama alikua amejiandaa na hili.

Updates....

Meneja wa Diamond Platinumz Sallam sk Mendez amesema wao kama wcb wanamwachia mlezi wao ambaye ni mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda, ambaye atatolea ufafanuzi zaidi katika hizo mbili.

Pia amesema wao kama wcb hawajapokea notification ya kufungiwa nyimbo zao hivyo bado wao wanahesabu kuwa ziko palepale hazijafungiwa kwakuwa hawajapokea official letter toka Basata wala Tcra.
 
Mpaka Sasa imeshaazirika
Watakao inunua hii n wale
Wanaz wenzie tu walioko nae

Wanaenda kuiweka kabatin
Maana nan wakutumia cd

Zama hz mwendo n flash tu
 
Nyimbo nyingi za Dai ziko so errotic. Yan zinahamasisha sana ngono na kuongelea mambo ya chumbani. Hazifai kupigwa in buplic with an audience of the under age!

Kosa letu sisi wabongo chanel zetu tunaangalia bila kufata vigezo ni kuanzia umri gani. Hapo tu ndo tunakosea kipindi kinatakiwa kutazamwa na watu 15+, unakuta mzazi kakaa na mtoto wa miaka 12 wanatizama.
 
chini chini, chini chini..
bad girl kakalia pini pini
tamu kama nini
iko kwa ulimi.
muvie ya filam niko kila scene.
.
.
.
.
.
.
ni raha ku do naye.
ameshika mkongojo wa mzee.

rayvanny boy
 
Habari wakuu,
Naomba kuuliza je diamond platnumz ataathirika vipi na hii album yake baada ya nyimbo mbili kufungiwa?

Au hakuna athari zitakazo jitokeza? Maana tarehe 16/3/2018 ndio inatoka.

Hili tukio sio kumkoa kweli? Maana alikuwa kapanga hivi na wengine wanafanya hivi.
Yani kirahisi twaweza sema what to expect when your expecting. Sidhani kama alikua amejiandaa na hili.
Analipa kod milion 40 kwa mwaka ataitoa kama alivopanga na hawatamfanya lolote
 
Samahani mkuu, ni nyimbo gani zimefungiwa? hii habari ilinipita kidogo. naomba unijuze kama hutojali nichungulie kunako you tube.
 
Back
Top Bottom