Mange Kimambi, Diamond Platinumz, Ali Kiba; Sijawahi kuwafollow watu hawa

Money Penny

JF-Expert Member
Jun 20, 2016
15,920
14,819
Kusema ukweli sijui ni marafiki nilionao au hata sielewi lakini hauwezi amini mimi money penny sijawahi KUMFOLLOW Mange Kimambi Instagram wala Facebook wala twitter

Diamond platnumz sijawahi KUMFOLLOW instagram wala Facebook wala twitter zaidi ya kula karanga na kuskiza mziki kwenye gari ya dereva was ofisini kwa mume

Ali Kiba nampenda sana mimi ni team Kiba lakini sijawahi KUMFOLLOW sijui instagram wala Facebook wala twitter sijui Snapchat

Hizo social media zote ninazo na kila. Siku lazima niingie kuperuz ila hawa watu kuwafollow haijawahi kunitokea kabisaa

Wema sijawahi KUMFOLLOW
Lulu sijawahi KUMFOLLOW
Wolverhampton stylish sijawahi KUMFOLLOW
Shihi baby... snura. .. anti ezekiel. ..moze iyobo... Zari... Hamisa...clouds media grup... efm... wasafi crew... sijawahi kuwafollow hate siku 1

Mimi nipo more focused na celebrity was marekani na uingereza hasa blacks kidogo wale wananipa kitu cha kuwafollow

Mimi na marafiki zangu tukikaa hautaskia tunaongelea bongo movie wala platnumz sijui zari sijui hamisa never tunaongelea Janet Jackson... Beyonce. ..JayZ. .. BET CREW... LONDON CREW... maraisi wa dunia... Raisi Wangu Mh. MAGUFULI na crew yake eeh... waandishi akina Daniel Steel na wengine wengi.... wanamziki akina Producer mume wa Alicia Keys... Trace Elis Ross... Diana Ross... Celine Dione... P.Diddy... Mary Mary singers... Dolly Pardon...watu ambao ukiwaangalia leo unajjifunza kitu...watu interesting ndio tunadiscuss sio vinginevyo ... Kwanzaa nikiliamsha kudiscuss Platnumz kila mtu anaaga anaondoka mana mmekosa cha kuongea

Mwenzangu niko na wakati mzuri at the same time naweza sema mgumu. .. Ni sawa kuwafollow raia was Kenya lakini haumfuatilii Msaniii hata mmoja wa Kenya unafuatilia was Tz

Tupo buzy na maisha than chasing celebrities ambao hawaniongezei chochote kwenye maisha yangu

Mange Kimambi namfahamu na nampenda sana Kwanzaa yeye ni March Baby mwenzangu ila walaaa sijawahi mfollow zaidi ya kumsoma wakimuandika jamii forum sio follower wake!

Wabongo wanamuda jamaani. .. tujaribu kudiscuss vitu vya maendeleo zaidi hao mnaowadiscuss mnawaingizia fedha alafu unatoka kapa si bora udiscuss mtu ukamwingizia hela inakusaidia kujifunza kitu ukapata idea ukatengeneza kitu kikakuingizia pesa ambayo haukutegemea na idea unique...

Ni hayo.tu kuhusu mie Money Penny

Wasaniii wote wa tz nawapenda ila sijawahi kuwafollow kiviiile kama watz wenzangu wanavyofollow hawalali
 
Vitu vya maendeleo havina nafasi kwa wabongo.

Wabongo wako busy na ushilawadu wakiongozwa na rais wao.

Ukitaka mijadala iliyo hot kwenye mitandao ni ile ihusuyo ngono na kila aina ya umbea.

Mijadala inayohusu uchumi, siasa ambayo ndio inayoamua maisha yetu ya kila siku zote hizi hazinaga hata wachangiaji
 
Kusema ukweli sijui ni marafiki nilionao au hata sielewi lakini hauwezi amini mimi money penny sijawahi KUMFOLLOW Mange Kimambi Instagram wala Facebook wala twitter

Diamond platnumz sijawahi KUMFOLLOW instagram wala Facebook wala twitter zaidi ya kula karanga na kuskiza mziki kwenye gari ya dereva was ofisini kwa mume

Ali Kiba nampenda sana mimi ni team Kiba lakini sijawahi KUMFOLLOW sijui instagram wala Facebook wala twitter sijui Snapchat

Hizo social media zote ninazo na kila. Siku lazima niingie kuperuz ila hawa watu kuwafollow haijawahi kunitokea kabisaa

Wema sijawahi KUMFOLLOW
Lulu sijawahi KUMFOLLOW
Wolverhampton stylish sijawahi KUMFOLLOW
Shihi baby... snura. .. anti ezekiel. ..moze iyobo... Zari... Hamisa...clouds media grup... efm... wasafi crew... sijawahi kuwafollow hate siku 1

Mimi nipo more focused na celebrity was marekani na uingereza hasa blacks kidogo wale wananipa kitu cha kuwafollow

Mimi na marafiki zangu tukikaa hautaskia tunaongelea bongo movie wala platnumz sijui zari sijui hamisa never tunaongelea Janet Jackson... Beyonce. ..JayZ. .. BET CREW... LONDON CREW... maraisi wa dunia... Raisi Wangu Mh. MAGUFULI na crew yake eeh... waandishi akina Daniel Steel na wengine wengi.... wanamziki akina Producer mume wa Alicia Keys... Trace Elis Ross... Diana Ross... Celine Dione... P.Diddy... Mary Mary singers... watu ambao ukiwaangalia leo unajjifunza kitu...watu interesting ndio tunadiscuss sio vinginevyo ... Kwanzaa nikiliamsha kudiscuss Platnumz kila mtu anaaga anaondoka mana mmekosa cha kuongea

Mwenzangu niko na wakati mzuri at the same time naweza sema mgumu. .. Ni sawa kuwafollow raia was Kenya lakini haumfuatilii Msaniii hata mmoja wa Kenya unafuatilia was Tz

Tupo buzy na maisha than chasing celebrities ambao hawaniongezei chochote kwenye maisha yangu

Mange Kimambi namfahamu na nampenda sana Kwanzaa yeye ni March Baby mwenzangu ila walaaa sijawahi mfollow zaidi ya kumsoma wakimuandika jamii forum sio follower wake!

Wabongo wanamuda jamaani. .. tujaribu kudiscuss vitu vya maendeleo zaidi hao mnaowadiscuss mnawaingizia fedha alafu unatoka kapa si bora udiscuss mtu ukamwingizia hela inakusaidia kujifunza kitu ukapata idea ukatengeneza kitu kikakuingizia pesa ambayo haukutegemea na idea unique...

Ni hayo.tu kuhusu mie Money Penny

Wasaniii wote wa tz nawapenda ila sijawahi kuwafollow kiviiile kama watz wenzangu wanavyofollow hawalali
Ukim discuss jayz,Beyonce,Janeth Jackson wanakuongezea Nini ? Au unajifunza Nini kutoka kwao ?
 
Vitu vya maendeleo havina nafasi kwa wabongo.

Wabongo wako busy na ushilawadu wakiongozwa na rais wao.

Ukitaka mijadala iliyo hot kwenye mitandao ni ile ihusuyo ngono na kila aina ya umbea.

Mijadala inayohusu uchumi, siasa ambayo ndio inayoamua maisha yetu ya kila siku zote hizi hazinaga hata wachangiaji
Ni Kweli kabisa alafu wanaishia kutafutana mchawi nani wakati mchawi wa mtu Ni mtu mwenyewe
 
Ukim discuss jayz,Beyonce,Janeth Jackson wanakuongezea Nini ? Au unajifunza Nini kutoka kwao ?
Nenda kaangalie YouTube au wikipedia bibliography ya hao watu walipotoka mpaka sasa na wamefanya vitu gani kwenye maisha na Jamii yao uone kama utalala usingizi wewe!

Kama tu unapenda maendeleo
 
Sasa sisitufanyeje???
Fanya kama alivyokushauri mwenzio huyu hapa

Sikuzote ukweli unauma uusinichukie bure

Back
Top Bottom