Mwakyembe amesema kuna baadhi ya wasanii ambao walianza kufanya uhuni ndani ya mitandao akiwemo mwanamuziki nyota wa muziki, Diamond ambae tayari amekamatwa na Jeshi la Polisi na anahojiwa...
Nimekuwa nikijiuliza hili swali siku nyingi sana Hivi yule mkali Wa Hasara roho,muziki,usikate tamaa A.k.a Darassa yuko wapi jamani?
Mliopo Dasilamu mtusaidie sisi wa mikoani Darassa Amepotelewa...
Ndoa ya mwanamuziki Alikiba na mchumba wake Amina inatarajiwa kufungwa kesho alfajiri katika msikiti wa Ummul Kulthum ulioko eneo la Kizingo jijini Mombasa.
Mama wa bibi harusi mtarajiwa, Bi...
Salam,
Moja kwa moja niende kwenye mada, kila mtu sasa anajua kuhusu kuvuja kwa video ya faragha ya wasanii Nandy na Billnas. Kwenye ile video Nandy mwenyewe, mhanga mkuu, anaonekana ndo...
1. JAY Z : Baada ya kua namba 2 kwa kipindi kirefu kidogo hatimaye Jay Z karudi tena namba moja na utajiri wa pesa za kitanzania Trilioni 2 na Bilioni 25.. shukrani ziende kwenye uwekezaji...
mwananchi_officialMuigizaji Elzabeth Michael 'Lulu', anaisheherekea siku yake ya kuzaliwa kupitia wawakilishi wake katika Hospital ya Taifa Muhimbili na watoto wenye vichwa vikubwa. Lulu...
Msanii wa muziki wa kizazi kipya , Dully Sykes, ametoa ya moyoni baada ya kutoalikwa harusi ya msanii mwenzake Alikiba, ambaye kwa asilimia kubwa amehusika kwenye sanaa yake ya muziki mpaka...
Haya Haya Sasa Kumechuka Diamond Ameanza Kuachia Video Akiwa na Mpenzi mpyaa! Ameamua athibitishe Kwa Vitendo kuwa Ameachana Na Mzazi Mwenzie Zari The Bosslady
Diamond Amepost videos akiwa na...
Mwanamasumbwi mwenye sifa, mikogo na majivuno makubwa nchini Marekani, Floyd Mayweather amekuja na jipya wiki hii baada ya kudai anaweza kuinunua klabu ya Newcastle United ambayo ipo sokoni kwa...
Kama ulikuwa mfatiliaji mzuri wa stori ya Janjaro kujifanya mwanamke kwenye video yake basi utakumbuka kuwa watu wengi walimpiga vita kufikia hatua ya kutakiwa asifike Arusha na ndipo Enewz...
Akizungumza muda mfupi tu uliopita katika mahojiano na Kituo kimoja cha Television Msanii Peter Msechu amesema kwamba kama kuna kitu ambacho amejifunza kwa Watanzania basi ni tabia zao kubwa mbili...
Msanii wa Muziki Bongo, Nandy amesema anaweza ku-date na Bill Nass ila siyo Dogo Janja kutokana na urafiki wao kuwa wa karibu zaidi.
Muimbaji huyo ambaye kwa sasa anafanya vizuri na ngoma...
Msanii wa muziki wa kizazi kipya , Dully Sykes, ametoa ya moyoni baada ya kutoalikwa harusi ya msanii mwenzake Alikiba, ambaye kwa asilimia kubwa amehusika kwenye sanaa yake ya muziki mpaka...
Chama kubwa la WCB Leo wameachia wimbo bora wa Kwangwaru wa kijana Chinga boy aliomshirikisha boss wake Diamond saa 10 jioni hii kupitia TV yao wa Wasafi.
Nyota yake Harmonize inazidi kung'aa...
Mwanamziki Diamond platnumz amepata dili tamu zaidi kutoka kwa bank moja hapa bongo BANK OF AFRICA (BOA),adai zile video za jana ilikuwa beleare here beleare there tu ila now yuko poa kwa...
Yawezekana nisiwe chochote kwako lakini si vema ukapuuzia kila unachoshauriwa. Nimekuwa shabiki wako kwa muda mrefu, si shabiki tu bali mtu ninayesupport pia kazi zako. Mie si muhudhuriaji hata...
Rais mstaafu, Jakaya Kikwete amempa nasaha za maisha ya ndoa na ujana, Ali Kiba ambaye yuko kwenye harakati za kufunga ndoa hivi karibuni.
Ingawa taarifa za awali kutoka Mombasa zimekuwa...
Kwa mara ya kwanza baada ya kutopiga ngoma za Wcb kwa mda mrefu Tv E inayosimamiwa na majizo saa 11 jioni ya leo imeonesha hii video ya konde boy, hii ndio kumaanisha wameyamaliza bifu zao au Dj...
Habari wadau..
Naamini media nyingi za tanzania zimegundua umuhimu wa diamnond kwenye tasnia ya habar hususan udaku udaku na mambo mengine..
Diamond ni brand kubwa saana ambaya kuipuuzia katika...
Ni yule dingi wa filamu maarufu ya FULL METAL JACKET ikieelezea story ya makuruta wanaojinoa kupambana ktk vita ya Vietnam vs US...anafahamika sana kwa kumhenyesha Private Pyler na Private...