Diamond apata dili nono kutoka Bank of Africa(BOA) baada beleare here beleare there

Jiraniyetu

JF-Expert Member
Sep 22, 2016
350
333
Mwanamziki Diamond platnumz amepata dili tamu zaidi kutoka kwa bank moja hapa bongo BANK OF AFRICA (BOA),adai zile video za jana ilikuwa beleare here beleare there tu ila now yuko poa kwa kazi..mna maoni gani wadau kwa huyu kiumbe na walompa hili dili,jana tu ametukanwa amedhalilisha wanawake,halafu leo amekomba mamilioni ya ubalozi,karibuni.
 
Akwendreeee huyo limbukeni wa maisha,hivi kila mtu angekua anakiss na mwanamke wako kitandani anajirecord halafu anairusha kwenye mitandao unafikiri hali ingekuaje?,jamaa ni fala kweli kweli
 
Hata kama kapata dili kubwa,ila kama mzazi na CEO wa brand kubwa ya WCB kakosea sana kwa kile alichokifanya.
 
Mwanamziki Diamond platnumz amepata dili tamu zaidi kutoka kwa bank moja hapa bongo BANK OF AFRICA (BOA),adai zile video za jana ilikuwa beleare here beleare there tu ila now yuko poa kwa kazi..mna maoni gani wadau kwa huyu kiumbe na walompa hili dili,jana tu ametukanwa amedhalilisha wanawake,halafu leo amekomba mamilioni ya ubalozi,karibuni.
Baada ya alichofanya jana nitasusia kila kitu chake ikiwemo hata hiyo bank of Africa kama atahusishwa nayo.

Yeywle alipaswa kioo ch jamii.
 
Akwendreeee huyo limbukeni wa maisha,hivi kila mtu angekua anakiss na mwanamke wako kitandani anajirecord halafu anairusha kwenye mitandao unafikiri hali ingekuaje?,jamaa ni fala kweli kweli
wivu na povu vinapochanganyika
 
Huyu mtu anayeambia mashabiki wake kwenye insta kuwa wakajambe mbele?????

Ndio unapoteza muda wako kumsifia.
 
Na wewe umasimama mbele ya watu na kujiita mwanaume........umekaa unatangaza kabisa et "" oya jamani ku mwanaume mwenzangu huko kapata bonge la dili,, aaahh noma sana"""

Bullshit!!!
 
Mkuu watu kama hawa unakuta anayafuatilia maisha ya huyo Diamond kuliko hata anavyoyafuatilia maisha yake yeye mwenyewe!!
Fainali uzeeni,vijana angalieni msije kuwapa kazi watu uzeeni mwenu,

Usipoitesa akili ujanani utautesa mwili uzeeni.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom