Nandy asema anaweza ku-date na Bill Nass ila siyo Dogo Janja

Rosh Hashannah

JF-Expert Member
Sep 13, 2017
3,334
2,000
Msanii wa Muziki Bongo, Nandy amesema anaweza ku-date na Bill Nass ila siyo Dogo Janja kutokana na urafiki wao kuwa wa karibu zaidi.

Muimbaji huyo ambaye kwa sasa anafanya vizuri na ngoma ‘Kivuruge’ ameiambia The Playlist, Times FM kuwa Bill Nass anamvutia zaidi ya Dogo Janja, hivyo anaweza kumtazama kwa jicho la pili.

“Dogo Janja ni rafiki yangu, Dogo Janja hayupo kabis labda Bill Nass watu wanavyomzungumzia naweza nikakaa mwenye pembeni nikasema ok, labda nikamtazama kwa jicho la pili lakini Dogo Janja siwezi hata nikapoteza muda kumfikiria kwa sababu ni nigger wangu” amesema Nandy.

“Si kwa kwamba (Dogo Janja) siyo type yangu, ni kijana mwenzangu lakini ni rafiki yangu ambaye najua matatizo yake na yeye anajua ya kwangu tuna-share kiasi kwamba siwezi hata kumfikiria lakini Bill naweza kumfikiria” amesisitiza.

Katika hatua ngingine Nandy ameeleza licha ya kuwepo tetesi nyingi kuwa ana-date na Bill Nass hakuna jambo kama hilo na Bill Nass hajawahi hata kumueleza kuwa anamuhitaji.
Source: Bongo5
 

barafuyamoto

JF-Expert Member
Jul 26, 2014
29,770
2,000
Dih, tusi hilo kwa Bill Nass, yaani kwa lugha nyingine ni, INGAWA BILLNASS NI MBAYA NA CHOKO ILA AFADHARI NIMUONEE HURUMA YEYE NIMPE GEMU KULIKO DOGO JANJA.
 

Jurrasic Park

JF-Expert Member
Sep 13, 2013
3,755
2,000
Huyu dada kwenye ile nyimbo yake ya kwanza TOKA MBALI aliyomshirikisha Cyril Kamikaze kalikuwa karembo hasaa sasa sijui nini shida sasa hivi labda umri unakimbia kama Usain Bolt
 

Doto Dotto

JF-Expert Member
Aug 3, 2015
3,035
2,000
Mungu mtu wa mawingu fm kagongewa dadadeki....chezea vijana wewe hawachagui sehemu uvunguni na juu ya dari wanakugegeda tuuu... next beef billnas na Rugemalila
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom