Video: Diamond ajirekodi video akiwa na Hamisa pamoja na Mzungu anayesemekana ni mpenzi wake mpya

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Sep 6, 2014
6,170
7,661
Haya Haya Sasa Kumechuka Diamond Ameanza Kuachia Video Akiwa na Mpenzi mpyaa! Ameamua athibitishe Kwa Vitendo kuwa Ameachana Na Mzazi Mwenzie Zari The Bosslady

Diamond Amepost videos akiwa na Mpenzi wake mpya Bila kumtaja Japo Si wema Wala Si Hamissa Kama Wengi walivyo tarajia!

Kinachowaumiza Kichwaa wambea wa Mjini ni Je huyu Dada Anaitwa nani? anatokea Nchi gani Na je Ni mtu wa Mitandao ya Kijamii kama Wengine Wote alio tembea nao Diamond??

ILA hakika Mtoto ni mzuriiii Ama Kwelii Demu wako akikuacha Tafuta Demu mkali zaidi yake

Shikamoo Diamond


NAWAKUMBUSHA UKIACHWA ACHIKA

Video: Diamond akiwa na mzungu


Video: Diamond akiwa na Hamisa
 
Sijui lini atatulia ndio tabu ya long distance relationship,tabu tupu naona anawapa watoto tabu,ila ajijue yy ni baba ,CEO wa WASAFI ajiheshim basi.
 
So hawa mademu zake, Hamisa na huyo mzungu, wamekubali kushare dushelele huku wanajuana kabisa sio?

Huyu Dayamondi ni mshamba sana, angejua thamani ya brand yake na image anayojijengea kwa huu upuuzi angeacha mara moja.

Unamkomesha vp Zari mama wa watoto wako!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom