Dick Sound: Milionea aliyeanza kuuza maji, kufunga muziki Magomeni

Jul 3, 2020
29
63
Nimevutiwa na utajiri mkubwa huyu kijana mwenye miaka 31.

Amekuwa akiuza maji kabla ya kujiajiri kwa kazi be ya kufunga mziki magari na kuyapimpu.Kazi hii kafanya kwa miaka zaidi ya ishirini.

Ana miliki nyumba yenye thamani ya zaidi ya milioni 350 TSH, pamoja na magari ya kifahari ya thamani ya zaidi milioni 850.

Hakika kijana huyu ni kielelezo cha vijana wenye mafanikio makubwa kwa kujiajiri wenyewe bila ya kutegemea ajira ya serikalini, mafanikio ya kijana huyu ni zaidi ya wasomi walioajiriwa wakisubiri mshahara kiduchu kwa mwezi.

Hongera yake.
 
Usisahau pia Magomeni ndio makao makuu ya wauzaji na wasafirishaji wa dawa za kulevya Tanzania.
 
Nimevutiwa na utajiri mkubwa huyu kijana mwenye miaka 31.

Amekuwa akiuza maji kabla ya kujiajiri kwa kazi be ya kufunga mziki magari na kuyapimpu.Kazi hii kafanya kwa miaka zaidi ya ishirini..

Hizi Stori zenu tatzo mnazileta na chumvi nyingi sn.Mnaharibu mnakuja kuonekana waongo au tukikosoa tunaonekana tuna wivu

Mtu ana miaka 31 alafu ameanza kazi ya kupimpu magari zaidi ya miaka 20,yaani alianza kazi ya kupimpu magari na kufunga mziki akiwa na miaka 7 au 8?
 
Nimevutiwa na utajiri mkubwa huyu kijana mwenye miaka 31.

Amekuwa akiuza maji kabla ya kujiajiri kwa kazi be ya kufunga mziki magari na kuyapimpu.Kazi hii kafanya kwa miaka zaidi ya ishirini.

Ana miliki nyumba yenye thamani ya zaidi ya milioni 350 TSH, pamoja na magari ya kifahari ya thamani ya zaidi milioni 850.

Hakika kijana huyu ni kielelezo cha vijana wenye mafanikio makubwa kwa kujiajiri wenyewe bila ya kutegemea ajira ya serikalini, mafanikio ya kijana huyu ni zaidi ya wasomi walioajiriwa wakisubiri mshahara kiduchu kwa mwezi.

Hongera yake.
Wewe dick humjuwi,,wacha kudanganya watu.
Huyo alianzia ufundi radio na tv miaka ya 95,hayo maji kauza lini?
Shughuli zake alifanyia mtaa wa kibesa magomeni mwembe chai,, kaulize taarifa zake.

Huyo jamaa ana umri zaidi ya miaka 45.
 
Magomeni ndipo watu hufungua biashara ndogo ambayo humtambulisha mtu

Lakn undan wake Kuna biashara yenye kipato kikubwa Sana anafanya na n Siri kubwa

Muulize Abdul nsembo huko ukonga analijua hili

Miaka 31 sasa muda wa kupimpu magari miak 20

31-20= 12

Muda wa kqwnda shule

7 -. 13 = yaan had darasa la saba

Sasa sijui haya maji aliuzia wanafunz na waalimu huko shulen

Kaka mrangi njoo utie neno hapa

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Nimevutiwa na utajiri mkubwa huyu kijana mwenye miaka 31.

Amekuwa akiuza maji kabla ya kujiajiri kwa kazi be ya kufunga mziki magari na kuyapimpu.Kazi hii kafanya kwa miaka zaidi ya ishirini.

Ana miliki nyumba yenye thamani ya zaidi ya milioni 350 TSH, pamoja na magari ya kifahari ya thamani ya zaidi milioni 850.

Hakika kijana huyu ni kielelezo cha vijana wenye mafanikio makubwa kwa kujiajiri wenyewe bila ya kutegemea ajira ya serikalini, mafanikio ya kijana huyu ni zaidi ya wasomi walioajiriwa wakisubiri mshahara kiduchu kwa mwezi.

Hongera yake.

umilionea unakuja pale ukishikwa mkono na watu wa connection na mkono huo wale madoni ambao wanapesa za kuwekeza zipo
 
Nimevutiwa na utajiri mkubwa huyu kijana mwenye miaka 31.

Amekuwa akiuza maji kabla ya kujiajiri kwa kazi be ya kufunga mziki magari na kuyapimpu.Kazi hii kafanya kwa miaka zaidi ya ishirini.

Ana miliki nyumba yenye thamani ya zaidi ya milioni 350 TSH, pamoja na magari ya kifahari ya thamani ya zaidi milioni 850.

Hakika kijana huyu ni kielelezo cha vijana wenye mafanikio makubwa kwa kujiajiri wenyewe bila ya kutegemea ajira ya serikalini, mafanikio ya kijana huyu ni zaidi ya wasomi walioajiriwa wakisubiri mshahara kiduchu kwa mwezi.

Hongera yake.
Akimaliza alipie Tangazo.... Moderator
 
Back
Top Bottom