Irene Uwoya na Dogo Janja wazidi kudhalilishana

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Sep 7, 2016
17,434
21,121
Katika kitu ambacho Irene Uwoya anakijutia na ataendelea kukijutia katika maisha yake ni kukubali kumvulia kufuli dogo janja, wengi sana tulimuonya tangu awali lakini alijifanya kuziba masikio na kutomsikiliza mtu, ona sasa wamemwagana wanaanza kudhalilishana.

Dogo Janja amemshambulia vikali Irene Uwoya aache kufake maisha ,aache kujifanya anapesa kumbe choka mbaya na badala yake amemshauri aongeze bidii kwenye utafutaji wa pesa na sio maigizo anayoyafanya mtandaoni kujifanya anapesa nyingi hali ya kuwa hata ada tu ya mtoto wake inampa tabu kulipa mpaka achangiwe changiwe.

Uwoya naye akamrushia kijembe Dogo Janja kwamba muziki wa hiphop umemshinda ndiyo maana amehamia kwenye taarabu na pia sio riziki ndiyo maana anapenda banana, Uwoya alienda mbali zaidi kwa kudai mwanaume wa kweli hawezi kujinadi kwamba anapenda banana ,Dogo Janja si mwanaume halisi ndiyo maana anajitangaza wazi wazi kwamba anapenda banana.





20190106_115558.jpeg
20190106_115711.jpeg
20190106_115649.jpeg
20190106_115624.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom