Samahani nauliza:
Hivi huyu Mrisho Mpoto kwanini havaagi viatu?!
Unajua simwelewagi kabisa huyu mtu?!
Kuna siku nilikutana nae pale Makumbusho anapekuaaa skunyingine nimekutana nae Posta mpya...
UCHAMBUZI WA WIMBO
JINA LA WIMBO: SIKOMI
MSANII : DIAMOND PLATNUMZ
UTANGULIZI
Diamond Platnumz ni msanii wa muziki wa kizazi kipya (bongofleva) kutoka Tanzania. Anaiwakilisha nchi yake na fasihi...
Akiwa mdogo alipendelea kwenda malishoni kuchunga mbuzi,
Akiwa na miaka 7 tu, aliwapeleka koondoo na mbuzi milishoni kila mifugo hao wakifika eneo moja kila siku wakaonja majani.ya mmea...
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Wana JF MMU leo nimepitapita huku na kule social mediani duh ! kumbe mapemzi huwa...
Beyonce ameanzisha dini yake..Watu wanamuabudu yeye kama muungu wao..
Wasio jua maandiko wanamlaani Beyonce ..They think they know better than Beyonce ..
In the Bible at Psalms 82 : 6 God is...
Hakuna kesi ngumu Dunani Kama ya kusuluhisha wapendanao
Mke anaongea yake
Mume anaongea yake
Mwisho wa siku kitanda ndio kinaamua Kama wanapendana au la
Ushauri: Wadogo zangu Giggy Money...
Jumamosi iliyopita ilishuhudiwa sherehe kubwa ya harusi iliyoteka dunia kwa muda iliyokuwa inamuhusu Prince Harry na mpenzi wake wa muda mrefu Meghan Markle.
Ndoa hiyo ilihudhuriwa na wageni...
Rayvany msanii wa wasafi classic chini ya diamond platinumz anayetamba kwa wiimbo wa Pochi nene. Ametoa free style matata akiwatani mke wake, harmonize, sarah na muarab fighter.
It was joke and...
KWa wale vijana wenzangu wa zamani wanaweza kushangaa kidogo kama kweli kundi hili lililowahi kutamba sana miaka 35 iliyopita na vibao kibao kama vile Chiquitita, Money Money na nyingine kibao...
Moja ya advantage kubwa ya kuwa member wa JF .
Habari za mwanzo kabisa kutoka Windsor zinasema baada ya Prince Harry na Meghan kuangalia ni nchi gani watakaa fungate yao barani Afrika,hatimaye...
Baada ya kuzozana kwa muda mrefu Mwijaku na Mwenzie hatimae wimbo waliokua wanaupa kiki watoka hii ina maanisha kwamba ilikua ni mzozo feki kati ya vijana hao wawili kuupa kiki wimbo wa Mrisho...
Sheikh maarufu hapa nchini Hilali Shaweji Makarani maarufu kama Sheikh Kipozeo hatimaye ametambulishwa rasmi Wasafi TV kuwa ndiye atakayeongozwa mafundisho yanayohusu mwezi huu mtukufu wa...
Masista duu wanaosumbua kwenye mitandao ya kijamii, zari the bosslady (Uganda) , pamoja na Vera Sidika(Kenya) wamekutana na kupiga picha ya pa moja baad ya muda mrefu kudaiwa kuwa kwenye bifu la...
Samahani mimi kama Mzalendo naomba niulize wale wazalendo wanaopenda maendeleo wenzangu.
Hivi kweli Diamond Platnumz a.k.a Chibu Dangote ni wa kuuza Karanga kweli?
Yani na ma Exposure yote...
Nimesoma habari hii katika mtandao fulani wa kijamii ukidai kuwa lulu muigizaji maarufu kuwa ametoka akiwa na kitumbo. Sasa ninajiuliza aliempa hicho kitumbo ni nani kama ni kweli?
Eti aeleza alivyomvua wigi na kumtupia viatu nje Madale, asema anamchukia ile mbaya ch akuchekesha sasa eti amemsifia Zari.
Ubuyu wa moto moto unasema kuwa baada ya kuvuma kwa taarifa mitandaoni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.