Picha: Zari, Vera Sidika wakutana Live baada ya bifu la muda mrefu

warumi

R I P
May 6, 2013
16,273
18,380
Masista duu wanaosumbua kwenye mitandao ya kijamii, zari the bosslady (Uganda) , pamoja na Vera Sidika(Kenya) wamekutana na kupiga picha ya pa moja
IMG_3489.JPG
baad ya muda mrefu kudaiwa kuwa kwenye bifu la chini kwa chini
 
Vera ana umbo no. 9

Miguu kama ya wema...miguu ya shida shida

huwezi kumlinganisha na zari miguu imejaa vizuri kama ya wazungu wengi, miguu ya afya afya

Ila wote wazuri wa sura na shape

Wabillah Tawfiq
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom