Kwa wale wapenzi wa filam za kihindi poleni sana.
---------------
Veteran Indian film industry stalwart Shashi Kapoor has died at the age of 79, it has been confirmed. His nephew Randhir told...
Kupitia mobetostyle kwa Mara ya kwanza mbongo muvi aunty Ezekiel alipendeza sana kwa vazi La heshima alilovaa kwenye uzinduzi wa film yake inayoitwa MAMA ktk ukumbi wa Mlimani City, kwa kweli...
Aunt Ezekiel akiwa na mwanae
Je! Mama kuvaa hivi mbele ya mtoto wake ni Ujinga, Fashion, Ustaa, Uzungu, Swagga au Uboya?
Aisee wanawake wa kibongo acheni ujinga sio kila kitu ni chakuiga wazungu...
Yaani Nandi anajisifu kua umaarufu wake umepanda baada ya video yake chafu kuonekana mitandaoni mwezi uliopita, hili toto ni bure kabisa.
Je kama wewe mzazi wa huyu binti ungemshauri nini kwa huu...
Yani sasa ndo nimeamini Ali Kiba ndo mtu ambae hataki kabisa bifu lake na Diamond life maana atakosa promo kimziki kabisa.
Kama ilivyokuwa ushindani wa Ray na Kanumba ukamfanya Ray nae aonekane...
Watu wengine bhana[emoji52]
Oya MAN WALTER.....kama umeshindwa kabisa kumpigia mshkaji mziki wa bongo fleva mwache bhana....sio lazma jina lako liinuke tena kupitia yeye.
Tangu kipindi kile cha...
Ila Mange jamani namuonea huruma, alikazana mwenyewe miezi mitatu busy kuhamasisha maandamano na wabongo tulivyojaliwa unafiki tukamjaza ujinga na video juu tukamtumia kumtia moyo, bi dada si...
To be Honest,
Tanzania tumebarikiwa vipaji yaani kuna watu wanajua mpaka wanakera lakini "System" inaonekana kama inawatupa mkono sijui kwanini ?
Unasikiliza wimbo mpaka unasema Damn .Ngoma...
Miongoni mwa wachezaji wenye uwezo mkubwa kama LeBron James wanaweza kukumbuka matukio yote ya kwenye mechi wanazocheza?
Angalia hapa kupitia YouTube jinis LeBron James anavostaajabisha watu kwa...
Hii ngoma ni kali sanaa anzia Lyrics, beat na kwenye melody Daamn huyu mtoto wa kike kafanya kweli humu.
Ni ngoma flani unatakiwa usikilize ukiwa umetulia flani ndio unaweza ifaidi, amelia uzuri...
Socialite Jack Pemba has come out to comment on the s*x video making rounds and it reminds us of a Shaggy song – It wasn’t me.
A girl whose face appears in the video identified as Honey Suleman...
Kama tunavyojua wengi kwamba wimbo wa Ali Kiba kwa siku mbili views za Youtube zinaenda kwa mwendo wa kobe. Nimesikia utetezi kupitia Clouds Fm kuwa hii yote imesababishwa na watu wengi kuutizama...
Habari ya mda Huu..
Asilimia kubwa ya watu duniani wanaamini uwepo wa Mungu, na uwepo huu wa Mungu umeleta Imani tofauti tofauti za ambazo binadamu huziishi. Na Imani hizi zinaheshimiwa, wapo...
Naanza na kunukuu
"Kuna watoto wanaotaka ligi na wcb tumewachununia zimebuma" mwisho wa kunukuu
Hayo ni maneno ambayo ameyatoa diamond baada ya kuperfom katika shoo ya kwanza ya mboso tangu...
Habarini wakuu
Hapa Africa kuna masoko (regions) meng tofauti. Kuna East Africa, West Africa (Ghana, Nigeria), South Africa, Francophone countries etc...
Kimataifa kuna America, Europe...
Mara nyingi huwa najiuliza hivi huyu dada salama jabri wa BSS na Channel 5 je ni mdogo wake yule jamaa wa kuiga miziki wa zamani wa bongo Saleh Jabry au ni majina tu yanafanana??
Pili huwaga...
Kila star Ana star wake
Hapo ni JB Jacob Steven akiwa anafurahiii kukutana na coutinho,
Picha Nyingine ni FA na boateng
Mara nyingi anayecheka na kufurahi sana ndo anakuwa naomba selfie,
Pia...
Ni takribani sasa masaa 16 views za wimbo wa Ali kiba zimesimama na hazibadiliki , zinasoma laki saba na ushehe kwa takribani saa 16.
Kiufupi zimeganda na si kwamba haiangaliwi no inaangaliwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.