Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

The list of top KE rappers of 2018 is out. It's compiled by Kenya's top music magazine Aipate. Find the list here.
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Vile umbo namba 8 linatafutwa kwa nguvu...😅😅😅....🙌🏾🙌🏾
3 Reactions
12 Replies
2K Views
ACHA UMBEA NENDA KAFANYE KAZI WEWEEE 🥴🥴🥴🥴🥴🥴🥴🥴🤮
5 Reactions
140 Replies
19K Views
Kwanza Salam Wakuu. Nimevutika kuandika hii mada kutokana na Waliowengi kufuatilia Bongo fleva zaidi..imesababisha Music kushuka kiwango na Kulazimisha hata Wale waimbaji Wenye vipaji...
3 Reactions
34 Replies
4K Views
Za J2 Nilikuwa Kanisani nikaona Ben Paul kakaribishwa kuja kuimba, akaimba Gospel Me nauliza tu Ben Paul kwani ameendaga wapi?! Umaarufu wake umeisha?! Ndio tumetoka Kanisani nasubiri atoke...
5 Reactions
48 Replies
6K Views
Baada ya mwanamitindo Hamissa Mobetto kuachia wimbo wake uitwao madam hero nimejaribu kufuatilia kwenye redio station mbalimbali sijasikia hata moja inayoucheza wimbo huo. Hii ni ishara mbaya...
2 Reactions
60 Replies
8K Views
Huyu jamaa japo hana muda mrefu kuliko hata wale wachekeshaji wa mizengwe, kwa mtazamo wangu ndiyo mchekeshaji pekee aliobaki mwenye uswezo wa kuvaa viatu vya mzee majuto. hakuna cha Jotii...
12 Reactions
91 Replies
14K Views
Hamisa Mobetto kila mara amekuwa akizungumziwa mno na kudaiwa kuwa mwanamke aliye na tabia chafu ya kulala na kuzaa na wanaume matajiri. Kulingana na mwanamitindo huyo raia wa Tanzania...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
huyu ni msanii aliyetamba na kangoma chake iliyokuwa inaimbwa ...aaah taiti aaah taiti .mwenye kujua naomba aniambie
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Nchi za wenzetu raha sana kwa kweli hamna mambo ya kulazimishana mambo Hapa kwetu mtoto anaweza akawa ana kipaji cha mpira lakini wazazi kwa makusudi wanakiua kipaji chake na kumlazimisha kusoma...
3 Reactions
77 Replies
25K Views
Mtoto wa mama richad kaachia ngoma mpya inayokwenda kwa jina la ngedele hii ngoma ni sumu moja mbay sana Ninachojiuliza kwanin mavoko hapo awali hakuwahi kutoa ngoma kali kama hii why soo...
6 Reactions
71 Replies
13K Views
Eti mange kimambi ni mwenyeji wa wapi??
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Mimi sifatilii sana celebrities wa tz lakn nampenda sana hamisa mobetto napenda physical appearance yake. natamani siku moja nije kua km yeye niwe model lakin wazaz wangu hawakubaliani na mimi kua...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Aisee, huyu dada ambae sifa zake zimejaa Tz na kuimbwa mara kwa mara kwenye miziki ya wanamziki wakubwa hapa bongo leo nimemwona live Supermarket moja msasani. Niseme wazi bila chuki, Wema hana...
49 Reactions
228 Replies
41K Views
Mama watatu na mtangazaji mashuhuri wa kipindi vya mahojiano Zamaradi Mketema amesema hana mpango wa kuajiriwa kwa sasa. Akielezea uhusiano uliopo kati yake na WASAFI amesema yeye na WASAFI ni...
1 Reactions
29 Replies
5K Views
Msanii wa Bongo Movie Wastara Juma, amesema kwamba kwa muda huu haitaji msaada wowote zaidi ya kumuombea dua ili aimarike kiafya. "Nawaomba watanzania waniombee dua, kwa sasa sihitaji msaada...
2 Reactions
13 Replies
4K Views
Mwenye namba zake huyu binti mwenye sauti laini au ni jinsi gani naweza kuwasiliana nae anisaidie washkaji zangu. Instagram hajibu DM na pia kama yupo humu naomba anitafute hata private Sent...
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Msanii wa bongo fleva na mjasiriamali nchini, Zuwena Mohamed maarufu kama Shishi Baby amefunguka na kudai yeye sio mtu wa kufake maisha kama baadhi ya watu wanavyomfikiria mitandaoni huku...
2 Reactions
7 Replies
3K Views
Kwa kipindi kirefu kumekuwa na stori za hapa na pale kuwa muigizaji wa filamu Bongo, Elizabeth Machael 'Lulu' anaolewa na Majey. Sasa basi, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda jana August...
6 Reactions
53 Replies
9K Views
Waungwana nimeiona video ya wimbo mpya wa Rich Mavoko uitwao ndegele ikiwa ni wiki kadhaa baada ya yeye kujitoa WCB. Kiukweli naona ni wimbo wa kawaida sana na asipoangalia atapotea bora ajaribu...
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…