Swali: Ben Paul jamani yuko wapi?!

yupo active... kuna wimbo mzuri sana kaimba na mdada wa uganda huwa nauona TRACE

sema the only problem kwa huyu jamaa ni kwamba hajui kujibrand baaaaasi

yani ukitoa nyimbo zake hakuna kitu kingine kinachoweza kukufanya umfatilie
Mwisho tutasema hajui kuimba au kutengeneza beat or heat song... Mara hawezi kujenga, Mara Hana gari zuri nk...

Kuna kitu ana kosa ili hivyo vingine vimfate au viwezekane
 
yupo active... kuna wimbo mzuri sana kaimba na mdada wa uganda huwa nauona TRACE

sema the only problem kwa huyu jamaa ni kwamba hajui kujibrand baaaaasi

yani ukitoa nyimbo zake hakuna kitu kingine kinachoweza kukufanya umfatilie

Mbona tulimfuatilia sana pale alipovua nguo halafu akajibiinua makalio kama wema na kisha kupigwa picha na mwanaume mwenzake.. tulimfuatilia sana tu
18580896_941753065927407_8591320384672890880_n.jpg
18580896_941753065927407_8591320384672890880_n.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom