Goo morning wana Jf!
Watanzania huwa tunatabia ya kuwaongezea ugonjwa wagonjwa..Yaani mtu anaweza akawa anaugua kabisa na dalili zote tunaziona lakini ndio kwanza tunaendelea kumgeuza kiburudisho...
Muigiza Maarufu Bongo, Muna Love, amezungumza na waandishi wa habari leo nyumbani kwake maeneo ya Mbezi jijini Dar es Salaam na kuweka wazi jinsi ambavyo alikutana na Peter Zakaria Komu, mwanaume...
Gwiji wa muziki wa reggae nchini Jah Kimbuteh amefariki dunia nyumbani kwake Msasani jijini Dar es salaam, mshirika wa karibu wa marehemu David Msitta Manju, amethibitisha.
Akiongea nasi kwa njia...
Mtangazaji mpya wa WasafiTv anaeitwa Jonijoo, anaenda kuishangaza dunia.
Ulimwengu unaenda kuona kipaji cha hali ya juu. Swagga, technics, big brain na ubunifu wa hali ya juu kutoka kwa Jonijoo...
Mama mzazi wa msanii wa Bongo Movies Muna Love, Ritha Moyo amempeleka Polisi mwanaye huyo kwa makosa ya mtandaoni ya kumkana kuwa amefariki, kumtukana na kumkana mjukuu wake aliyeko Moshi mkoani...
Faraja Nyalandu
Founder & Executive Director | Shule Direct | Driving Social Change through Innovative Learning Programmes
By Faraja Kotta Nyalandu – A Woman
I was not always a top performer in...
1. Turn back the hands of time - Rkelly.
2. So into - fabulous ft tamia
3. Open road - Chrisbrown
4. I need a girl part 2 - Diddy
5. Just a baby boy - Snoop ft tyrese
6. Thong thong - sisqo
7...
kwanza kabisa nampongeza ommy Dimpoz kwa kusherekea siku yake ya kuzaliwa.
pili naungana naye katika kutoa shukrani kwa Mungu baada ya kutengemaa kwa afya yake.
katika ukurasa wake wa instagram...
SIRI imefichuka kuwa mwigizaji wa filamu za Kibongo, Rose Alfonce Nungu almaarufu Muna Love ambaye hivi karibuni alifiwa na mwanaye, Patrick Peter, inasemekana ana mtoto mwingine kinyume na kauli...
Yule Mwanamuziki maarufu wa Muziki wa Dansi aliyewahi kutamba na bendi za Twanga pepeta na Extra Bongo amelazwa kwenye hospitali ya Bugando , na imeelezwa kwamba hali yake hairidhishi.
Chanzo...
Ni Marc Dizzo,mchizi w da Skendo miaka ile ya 2000s,jamaa alikuwa anajua sana sema na yeye ndo dizaini ya Kina Jay Mo wakali sana ila nyota hawana..
Dizzo alikuwa member wa Dudu Baya,"Da Skendo"...
Wadau huu mwaka tutashuhudia positive music battle kati ya Fiesta na WasafiFestival kwa upande wangu hii battle naichukulia positive kwa ukuaji wa muziki wetu kwa sababu kama mtoto wa juzi diamond...
Muimbaji Shilole amezungumza na Ayo TV pamoja na millardayo.com ambapo amesema kuwa anatamani sana siku moja kuteuliwa kuwa mkuu wa Wilaya ya Igunga mahali ambapo ndipo alipotokea, Shishi amesema...
Yule dada yetu msanii maarufu wa nyimbo za Bongo wa Fleva leo hii amewaka bayana ya kuwa yeye na shetani sasa ni paka na panya. Amethibitisha hayo katika post zake za instagram. Wambea hatuna...
Ameyasema hayo wakati akihojiwa na EATV. Kasema kila shindano alikuwa anashinda, na siri ya Ushindi ni Maomba ya Baba mchungaji wake wa Kiroho.
"Mimi naishi magotini mwa bwana".
Baada ya...