Huu wimbo nimeuangalia mara mbili mbili ameutendea haki na sauti ameitoa kama inavyotakiwa kama ingekua ni American Got Talent basi ningembonyezea GOLDEN BUZZER. Appreciate you Kijana
binafsi nimekuwa nikipata tabu sana kumuweka 1 juu ya mwenzake ben pol anajua kunyonga chorus hali kadharika belle 9 na nyimbo zao sasa embu nisaidieni hapo nani yuko juu zaidi ya mwenzake
SERIKALI wilayani Muheza imetoa muda wa saa 24 vinginevyo italazimika kutumia nguvu ya dola kuwasaka na kuwafikisha mahakamani wananchi wote wa Kijiji cha Songa Kibao Maguzoni waliohusika na wizi...
Early this week Nilipata mshituko mkubwa kuona taarifa E-Newz ya muigizaji wa kichina Jet li anavyoteseja na ugonjwa kwa miaka 10.
Tumfahamu jet li ni nani?
Anaitwa Li Lianjie kazaliwa 26/4/1963...
Kufuatia huyu Kaka'etu aliyepata heshima kubwa sana kwenye tasnia ya Uandishi wa Habari na Utangazaji nchini kupitia IPP Media,
Ambaye pia ni mwalimu wa fani hiyo Chuo Kikuu cha Tumaini kampasi...
Natumaini mko vyema, kuna jambo linajitokeza sana kuhusu wasanii wamikoani sana sana hawa chipukizi kiukweli fikra zao zimetawaliwa nanini au sijui ndio menejimenti za muziki zimewasahau hawa...
Pamoja na umaarufu alionao wema , ni wapi alipokwama hadi anashindwa kuwa na maendeleo?., Amekosa washauri au tatizo ni nini
Baadhi ya watu wanadai kuwa wema ameshindwa kutumia umaarufu wake...
Madam original Irene Uwoya milango ya neema inazidi kumfungukia kila kukicha.
Club ya Irene Uwoya ambayo itafunguliwa rasmi mwaka huu december 25 itakuwa ni Club kali kuliko night club yoyote ile...
Mwanamuziki na Muandaaji wa muziki nchini Marekani, Pharrell Williams amemlima barua Rais wa Taifa hilo, Donald Trump inayomtaka asitumie tena wimbo wake wa ‘HAPPY’ kwenye shughuli zake za...
Wakati Bodi ya Filamu ikiwa imemfungia mwigizaji na mfanyabiashara Wema Sepetu kwa mda usiojulikana kujihusisha na masuala ya filamu, huku Chama cha Waigizaji Wilaya ya Kinondoni (TDFAA)...
kwa watoto waliozaliwa miaka ya hivi karibuni sio rahisi kumfahamu,labda wam-google.
huyu ni moja ya mwana-RnB aliyetamba sana katikati na mwishoni mwa miaka ya "tisaini"(nimeitamka kihenga)...
.
The model nailed the Queen's look with her curly white hair and colourful coat, complete with her iconic b-heeled court shoes and the patent black handbag she is always seen carrying...
Beyoncé Giselle Knowles (alizaliwa 4 Septemba 1981), anayefahamika zaidi kwa jina moja Beyoncé pronounced /biˈjɒn.seɪ/ ni mwimbaji wa R & B, mtunzi wa nyimbo, mtayarishaji wa rekodi, mwigizaji na...
Msanii wa muziki wa Bongofleva na Diwani wa Kata ya Mwanga Kaskazini mkoani Kigoma, Crayton Chipando (Baba Levo), amesema kitambi cha Peter Msechu kinatokana na kurogwa.
Baba Levo amedai Peter...
Huyu jamaa Castodickson nitamlaumu milele kwa kumuacha mtoto wake mpaka kaharibika kitabia kwa kuiga mambo ya kiume ume na mbaya zaidi baba yake anamtazama tu.
Casto ana mtoto anaitwa Fatuma au...
Licha ya kupitia kwenye mahusiano na wanawake lukuki, Mwanamieleka maarufu duniani, John Cena ameonekana nafsi yake kufedheheka kwa kukosa mtoto. John Cena (41) ambaye ameshapitia kwenye maisha ya...
The ongoing Feud between Nicki Minaj and Cardi B has turn to centre of accusations from both sides prompted outside players to confirm and/or deny claims from both parties.
Cardi claimed in one...
Wasalaam
Kati ya watu au wasanii wenye vipaji hapa nchini vya kuimba ni Aslay....
Aslay anao uwezo mkubwa sana tena sana...
Lakini kwa hivi karibuni muziki wake umeanza kuyumba kabisa na hata ile...