JOHANNESBURG, South Africa (CNN) -- Former South African president Nelson Mandela is celebrating his 91st birthday Saturday -- as his wife reveals he is struggling to deal with the indignities of...
Nimepata Habari kwamba mchungaji Lwakatare ameamua kurudisha Yatima 250 makwao kwa kisingizio kwamba hawezi kuwaangalia pale Tabata. Wanaorudishwa mikoani kwao wakiwemo wale wameathiriwa na HIV...
ove Jill but I really wouldnt be able tell if her gut was filled with a baby or the 8 meals she scarfs down daily
I could not tell the difference from before.
B4
after
MTANGAZAJI mwenye maneno lukuki kutoka Radio Times FM , Khadija Shaibu ' Dida' amesema kuwa endapo mtalaka wake, Ezden Jumanne akitaka kuoa yeye atakuwa wa kwanza kutoa mchango wa harusi...
Hivi majuzi nilipokuwa Kenya, nilisoma gazetini (Taifa Leo) kwamba Hasheem Thabeet ambaye karibuni atajiunga na NBA, kwamba ana asili ya UKENYA.Ndugu zake ni watu wa Malindi heti
Wakenya siyo...
PRODUZA wa musiki wakizazi kipya nchini paulmathew a.k.a Pfunky hivi karibuni amedaiwa kukimbia vipimo vya vvu
tukio hili lilitokea mjini mwanza katika ziara ya kuwasaka washiriki wa bongo star...
Celebrity au supastar kwako ni mtu wa aina gani? Maana halisi ya neno celebrity ukiangalia kwa wenzetu walioendelea ni mtu maarufu, mwenye pesa za kutosha ambae ana ushawishi katika jamii e.g...
Paris apparently mourned her break-up with Doug Reinhardt for about 2 hours yesterday, then filled the deep dark void with Cristiano Ronaldo.
Paris Hilton: Ronaldo's Easiest Score Ever | TMZ.com
Katika hali ambayo si ya kushangaza, Rais JK amemcheza ngoma bintiye (yaani kufundwa jinsi ya kuishi na mume). Ngoma hiyo ambayo ilihitimishwa mjini Bagamoyo (viwanja vya nyumbani kwao) siku ya...
MC Pilipili , MC Pilipili, MC Pilipili nimekuita mara tatu kuonesha msisitizo ,huyu mwanamke achana naye hakufai asilani habadani.
Kama kuna ndugu zake humu mumfikishie taarifa huyu mwanamke...
“Nilifikia kilele cha mafanikio katika biashara duniani. Katika macho ya watu wengine, maisha yangu ni kielelezo cha mafanikio. Hata hivyo, mbali na kufanya kazi, nina furaha ndogo. Kwa jumla...
Jamani msione vinaelea vimeumbwa! Huyu respected journalist wa CNN Richard Quest anayefanya vipindi vya Business na interview za maana kumbe nimtumiaji mzuri wa madawa ya kulevya na sasa yuko...
I love Beyonce lakini naona hakumfikia Toni braxton bado..to be honest there is no one song of hers that i hate...
hebu check this one...this is one of the greatest dong..."please"
MISS Tanzania 2006 aliye pia staa wa filamu za Bongo, Wema Isaac Sepetu Madam amevunja ukimya kwa kuweka wazi kuwa, mkorogo umemtia adabu na anajuta kuutumia mwilini mwake.
Wema Sepetu...
Mimi nina wasiwasi na kiongozi huyu kwamba nini hasa lengo lake, labda la kuwa raisi wa Afrika au mlezi kwani kufikia hatua ya kuwa kila siku anaangalia ramani ya Afika ni jambo la kushangaza...
Heshima mbele wakubwa.
Nimesoma kwa masikitiko taarifa ya mapokezi aliyoandaliwa EL kule kwenye jimbo lake kama shujaa,sasa sijui ni shujaa wa kabila lake au shujaa wa ufisadi...
Mambo ya Mahaba nipeleke West Africa nikateketee kwa Ebola yule Mpenzi wa Shilole Nuhu Mziwanda ameamua kuchora tatoo mkononi yenye sura ya Shilole kuonesha mapenzi yake kwa bidada.
Hii imekuja...