Founder na CEO wa E-FM na TV E,Dj Majay aka Majizzo February 20 atakua katika kipindi cha asubuhi kinachoitwa Clouds360 kikiongozwa na Babie Kabae,Sam Sasali pamoja na Hassan Ngoma ndani ya Clouds...
Nasikia Kaka yetu Yule mwenye haiba ya kukejeli mastaa pindi tu scandal yeyote inapowakumba na kugeuza utani kwenye page yake , ameanza kuota mapembe kisa anatoka kimapenzi na mwanaume mwenzie...
Yule First Lady mpya wa kaka yetu, nae ndoa ishaanza kuota ukungu kisa kikiwa ni mpiga chapi first class hapa nchini mwenye mashauzi kama yote kisa tu siku hiz anatembea na four wheels
Unaambiwa...
Baada ya ile shoo ya jana kufana sana pale mbunge Sugu alipo uhakikishia umma wa wapenda muziki wa kizazikipya kuwa watu wanapenda vya nyumbani na niwazalendo waukweli. nimechukizwa sana na...
Nimesikilza hii video ya msanii Q-chief imenisikitisha sana jinsi wasanii wazuri kama hawa wanavyopotezwa na watu fulani fulani kisa ya masilahi binafsi.
Binafsi nafkiri Q-chief ni moja ya...
Lady Jaydee amesema Ruge amezungumza sahihi kutokana na nafasi aliyonayo na pia kudai kuwa kuna watu alifanya nao kolabo ila wamefuta chorus kwenye nyimbo zao baada ya mgogoro kutokea.
Pia amedai...
Romy Jones au ukipenda muite Jordan , ni muigizaji wa kiume anayekuja kwa kasi sana hapa nchini mpaka kuwa tishio kwa waigizaji wakongwe.
Romy anajua sana kuuvaa uhusika sana sana scene za...
Dooh , jaman kumbe ndio maana kila anayekua nae anaishia kule, mmh jaman nyie mastaa kutwa kwa waganga kutafuta nyota na umaarufu muwe mnafikiria na fyucha zenu jaman, ndio umaarufu mtamu , Ila...
afandeseleking
Nukuuu kutoka kwa Afande sele
"Kitu ambacho ni cha ukweli na cha msingi zaidi kuhusu hawa mapunga ambacho chafff yangu Konky master alisahau kuklsema ni kuwa kati ya hao mashoga wa...
Wasalaam wana jamvi..
Kila mtanzania anajua fika kabisa kuwa hakuna mawasiliano mazuri kati ya Baba Diamond na wanae wakina Diamond na Queen Doreen na hakuna anayejua kilichotokea hadi wakafikia...
Kuna mwana bongo flava mmoja aliimba wimbo wa Nikizipata" msanii anaitwa Illuka. Daaaaah wa kitambo sana mwenye detail zake anipe kidogo namkubali sana huyu jamaa
Dah, we Snura mbaya wewe ujue, ndio nini kutuchamba vile eti hatuna kazi za kufanya ndio maana tumekuzushia kuwa umejifungua mtoto kwa siri wakati sio kweli, Leo imekuwaje tena umekiri kuwa...
Habari wanajamvi?
Wale wadada watanashati wapenda fashoni ambao kila fashoni ikitoka hawataki iwakose, hii hapa imetoka kwa ajili yenu.
cc
Numbisa
Cassie
Bodi ya Filamu Hapa Nchini Imetangaza Rasmi Kumfungulia Star wa Filamu Hapa Nchini Wema Sepetu Sehemu ya Adhabu Ambayo Walimpatia Kutokana na Video Yake Kusambaa Kwenye Mitandao ya Kijamii...
February 18, 2019
Dar es Salaam, Tanzania
Katika tasnia ya muziki Tanzania haina utamaduni wa kuwatambua waandishi / watunzi / waandaji / producer wa nyimbo kama ilivyo USA / Ulaya mfano...
Habari,
Ntaenda moja kwa moja kwenye point
Kitu ambacho kinanishangaza sana, ni kuwa sijawahi ona Mheshimiwa Makonda, Mwenyekiti wa kamati ya Ulinzi na Usalama ktk Jiji la Dar es salaam...
Xtra Xtra Large(XXL) ya Clouds FM ikiongozwa na Bdozen akiwa na Adam Mchomvu,Kenedy the Remedy,Perfect Crispin,Mamy Baby na DJ Scrath Designer,,Wameamua kuipa ngoma ya Marehem Godzilla...
Kusema ukweli huyu mtangazaji wa kipindi cha tatu mzuka huyu bint ni mzuri sana .
Nasema bint maana mara nyingi namsikia akijitangaza kwa baadhi ya washiriki wanaoingia kwenye droo ya kubahatisha...
Katika mahusiano yaliyodumu kwenye maisha ya Pdd, wanasema yalikuwa ya Jennifer Lopez na Huyu wa sasa Msanii Cassie. Picha Hizi ni za
party moja waliokuwa pamoja Pdd Na Cassie na zinaonyesha...
Mwili wa aliyekuwa rapa maarufu Bongo, Golden Mbunda "Godzilla" umewasili nyumbani kwao Salasala na kupelekwa kanisani kwa ajili ya ibada ambapo baadaye utaagwa na kuzikwa katika makaburi ya...