princemikazo
JF-Expert Member
- Jan 10, 2019
- 2,197
- 2,051
Xtra Xtra Large(XXL) ya Clouds FM ikiongozwa na Bdozen akiwa na Adam Mchomvu,Kenedy the Remedy,Perfect Crispin,Mamy Baby na DJ Scrath Designer,,Wameamua kuipa ngoma ya Marehem Godzilla aliyomshirisha Young Dee inayoitwa Walete kama jiwe la wiki leo Tarehe15,,Young Dee atakua live kwenye XXL Crazy Furahidei,,Hii imekaaje Wadau wanasubili mtu anadanja ndo wanafanya hivi..Kwann hawakufanya alipokua hai???
@ChaliiYaKijengeJuu
@ChaliiYaKijengeJuu