Wasalaam wana jamvi.
Mama wa msanii maarufu na tajiri kuliko wote nchi Diamond Platimuz ameweka wazi sababu za mwanae kutoonekana kwenye msiba na mazishi ya msanii mwenzie Godzilla.
Mama Diamond...
1.smooth vibes project
Hapo walifanikiwa kutoka kimuziki wanamuziki mbalimbali kama jaydee,rayc q chief, mr paul, pauline zongo stara thomas, k basil
2.prime time promotion
Hapa tuliweza kupata...
Ruge Mutahaba anaweza kuwa ametajwa kwenye masakata mengi ya ubaya dhidi ya wasanii, akibebeshwa lawama kuliko mtu mwingine yeyote kwenye tasnia ya muziki, lakini kwake ni mambo matatu tu ndiyo...
Joseph Mbilinyi
TAARIFA YA MASIKITIKO:
WALIKUJA NA KUOMBA MUAFAKA NASI TUKAKUBALI KWA AJILI YA AMANI NA MAENDELEO YA SANAA, NAMI KAMA KINEGA MWANDAMIZI NA PIA KIONGOZI MBUNGE) NIKACHUKUA...
7.2 Harakati za kudai haki za wasanii.
Mheshimiwa Spika, sanaa imeendelea kufanywa mtaji wa biashara na watu wachache ambao wanatumia nguvu waliyo nayo katika jamii na uwezo wao wa kifedha katika...
WOSIA WANGU KAMA IKITOKEA NIMETANGULIA KUFA KABLA YA RUGE AU JOE KUSAGA
Watu wanashtuka mtu akiongelea kifo, Utafikiri hawafahamu fika kuwa kila nafsi itakionja, Kwenye maisha yangu nimepitia...
Jana nilikuwa napiga story mbili tatu na mdau mmoja wa muziki kuhusu kifo cha Mangwea pia zinazoitwa tuzo za KILI...Ni mengi tuliongea, ila lililonifanya nije na hii post ni kuhusu msanii Belle 9...
Wadau kwanza naomba tumuombee marehemu Rugemalila dua ili mungu amuweke panapostahili kulingana na amali zake!!Kifo ni tabia ya kimaumbile ambapo mimi na wewe wote tutakufa!Lazima..
.
Huko nyuma...
Habari wadau binafsi namkubali sana ruge hasa akili yake kibiashara ana mchango mkubwa sana kwenye sanaa yetu, maana yeye ndie kafanya hata kina jay z, 5o cent, ja rule wameijua Tanzania iko wapi...
Habari za jioni wapendwa wana jf !!!!Leo ndo kilele cha usiku wa tuzo za films zinazofanyika na kuonyeshwa live Kupitia Azam TV ambalo ni mwaka wa pili tangu kuanzishwa kwake hapa nchini...
Movement ya Anti-Virus ilianzishwa kimya kimya na Mapacha Wa Maujanja Saplayaz baada ya kulalamikia unyonyaji uliopitiliza katika kituo kimoja cha redio jijini Dar es Salaam. Wakiwa wawili tu...
Yule mwanamziki nguli wa Hip Hop wa miaka ile mwenye jina hapo juu ameondokewa na baba yake profesa rubanza siku ya juzi na amezikwa jana. Mungu ametoa na kwake amerudi jina lake lihimidiwe
Kevin Hart reaches out to Nigerian boy who did a drawing of him
Kevin Hart has reached out to a talented Nigerian boy who did a beautiful drawing of him.
The boy shared the drawing on Twitter...
Jamaa mwenye ngumi kama jiwe, Francis Cheka amepata ofa ya kusoma form one katika shule moja hapo Moro.
Wiki ijayo ataanza pre form one. Ofa hyo inakuja wiki moja baada ya kupewa viwanja viwili...