Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Tamasha hili linafanyika ukumbi wa mikutano wa mwalimu Nyerere posta jijini Dsm na liko mubashara luningani Clouds. Karibu!
0 Reactions
41 Replies
5K Views
Adai alimfata makonda Toka mwaka Jana na hakumsaidia lolote. Awaasa wajane wamtegemee mola peke yake Sent using Jamii Forums mobile app
10 Reactions
56 Replies
13K Views
Ndoa ya Billionea namba moja duniani mwanzilishi na mmiliki wa Kampuni ya mauzo mtandaoni ya Amazon Jeff Benzos na mkewe MacKenzie Bezos imeingia mchanga baada ya wanandoa hao kuamua kila mmoja...
2 Reactions
15 Replies
3K Views
Kwa muda mrefu rapper wa kike aliyewahi kutikisa nchini Tanzania, Rah P amekuwa kimya na kuendelea na maisha yake nchini Marekani. Lakini wengi hawajui tabu na shida alizozipata baada ya kwenda...
7 Reactions
65 Replies
26K Views
Namuona Piere akiwa kwenye VX akila zake kiyoyozi huku amekunja nne akila keki ya taifa. Namuona Piere akizunguka mkoa kwa mkoa, wilaya kwa wilaya, tarafa kwa tarafa, kata kwa kata na mgombea...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Kwa hali ambayo imedhihirika imepangwa ili kumchafua Pierre Liquid, watu wameanza kujitokeza kueleza kuwa wamezaa na Pierre. Tukumbuke mambo kama haya yalitokea nyakati za nyuma kuwachafua watu...
0 Reactions
30 Replies
5K Views
Ermias Davidson Asghedom kijana wa miaka (Agusti 15, 1985 – Mach 31, 2019), akijulikana kwa jina la sanaa kama Nipsey Hussle. Ni msanii wa sanaa ya muziki wa kufoka foka (Hip Hop) kutoka Calfonia...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nilikuwa siziamini baadhi ya Kauli hasa hii isemayo ' Kumpiga Teke Chura ni Kumuongezea Mwendo wake ' ila kwa kadri ambavyo naanza Kumuona Pierre Konki Liquid tokea adhihakiwe na adharauliwe na '...
18 Reactions
26 Replies
4K Views
Hii ni familia ya muziki wa Bongo fleva wote wametoa ngoma Tuambie Wana JF katika hizi ngoma ipi Ni Kali zaidi Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Naombeni kuuliza mzee huyu aliyejizolea umaarufu mkubwa kupitia mnada wa nyumba za lugumi. Yuko wapi huyu mzee,je zile fedha zake na mambo yake yaliendeleaje? Yuko ndani ya nchi hii kweli...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Huyu mtangazaji Bhoke wa kipindi cha Dadaz EATV(Channel 5) kiukweli anakera kwa tabia yake ya kutuonesha kitovu pamoja na sehemu ya chini ya tumbo hususani katika zile "jingles"/promo ambazo huwa...
2 Reactions
83 Replies
20K Views
Mlimbwende Jen Selter akionyesha Raba(Sneakers) anazogawa baada ya kuhama apartment.
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Khalid The great kampaisha Konki Liquid. Ina maanisha nguvu ya mitandao ni kubwa ila kiukweli tumuonee huruma tu konki sababu mtu mwenye roho mbaya mwenye back up ya mtu mkubwa kamchukia...
3 Reactions
24 Replies
5K Views
Rapper wa Kike kutoka Tanzania yupo nchini Kenya katika ziara ya kutangaza kazi zake huko, Katika Harakati hizi nimekutana na Show moja kali aliyoifanya live katika Kipindi cha 10 over 10 Cha...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hivi humu jamii forum kuna watu waliosoma na mkuu wa mkoa wa Dar Es Salaam atuambie ata uwezo wake ulikuwaje darasani ata waliosoma nae chuo
10 Reactions
75 Replies
11K Views
Jacqueline obed ‘Poshy Queen’ ANAPATA tabu sana! Mrembo anayetingisha kwenye mitandao ya kijamii (socialite) kutokana na figa yake matata, Jacqueline obed ‘Poshy Queen’ amefunguka kuwa...
5 Reactions
169 Replies
49K Views
SHEM DARLING JACKIE NA BRO'ANGU REGGIE WAMEMPOTEZA DANGOTE BASI bwana! Kwenye public domain kwa miaka kadhaa sasa, mtoto wa mama Nasibu, Diamond Platnumz a.k.a Chibu Dangote ndie alikuwa mtawala...
2 Reactions
11 Replies
3K Views
Siyo kwamba anakosekana mwanamke wa kuigiza kama mwanamke..... TABIA YA JOTI KUVAA UHALISIA WA MWANAMKE UNASABABISHA WATOTO WA KIUME KUJIFUNZA UPUUZI..... Naandika ujumbe huu KWA MAKONDA AMBAYE...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Miongoni mwa wasanii wenye msongo mkubwa mno wa mawazo basi Richard Mavoko anaongoza. Rich amekuwa mtu mwenye kusononeka kila kukicha na kujiona mkosaji mno ingawa akiwa katika macho ya mashabiki...
7 Reactions
74 Replies
15K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…