Majizo, Kusaga na Regina watumie njia gani nyingine ili wamuangushe Diamond na kundi lake? Kwanini wanashindwa? Tuwasaidie

Ruttashobolwa

Ruttashobolwa

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2012
Messages
46,173
Points
2,000
Ruttashobolwa

Ruttashobolwa

JF-Expert Member
Joined Feb 22, 2012
46,173 2,000
Wasalaam wanaJF,

Msanii Diamond ambaye ukweli ulio wazi ni msanii nambari moja hapa Tanzania
Msanii Diamond bado anapitia kwenye adhabu isiyo na kikomo ambayo amepewa na wamiliki wa EATV,efm na Clouds fm.

Adhabu hii inalenga kuhakikisha Diamond anapotea kwenye ramani ya Muziki na ikiwezekana asinyanyuke tena.

Lakini adhabu ya kutocheza nyimbo zake ilikwenda mbele zaidi na kuwafata wasanii wake wakina Harmonize,Rich Mavoko,Lavalava na Mboso na Queen Doreen nao wamefungiwa kutochezwa nyimbo zao kwenye vituo vya mabosi hao tajwa.

Lakini pamoja na kutocheza nyimbo za wasanii wote wa WCB bado wasanii hao wamezidi kung'ara kila kona na nyimbo zao zinapigwa kila kona na bila shaka na wao hao maboss wa hivyo vituo wanazisikia kila kona na hilo jambo linawatesa sana maana lengo la kumuangusha Diamond limekuwa gumu sana maana sasa Diamond ameshazaa wakina Diamond wengi kama Harmonize,Mboso na Lavalava.

Sasa Diamond amekuwa kama ni tatizo kubwa zaidi maana ameshazaa vidaimond vingine ambavyo kwakweli kuvizuia itakuwa ngumu sana na watapoteza lengo na ni wazi inakuwa ngumu sana kujua ni wapi sahihi kwa kupiga je ni kwa Diamond au kwa vidaimond.

Rich Mavoko wamemsamehe baada ya kujitoa WCB.

Hawa watanzania wenzetu wana lengo jema sana la kuhakikisha Diamond na vidiamond vyake viaanguka na vinakufa kabisa lakini kila kukicha vinazidi kunawiri moboss wameshindwa kabisa kumuangusha Diamond na wanaendelea kujaribu lakini wanashindwa na ni vyema wakasaidiwa kufanikisha lengo lao hili jema hata la mawazo.

Watumie njia gani mbadala?
Wafanye nini?
Wana kwama wapi?
 
Ruttashobolwa

Ruttashobolwa

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2012
Messages
46,173
Points
2,000
Ruttashobolwa

Ruttashobolwa

JF-Expert Member
Joined Feb 22, 2012
46,173 2,000
Wasalaam.............
 
jr wa arsenal

jr wa arsenal

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2015
Messages
722
Points
1,000
jr wa arsenal

jr wa arsenal

JF-Expert Member
Joined Aug 24, 2015
722 1,000
Asante kwa taarifa.
 
Ruttashobolwa

Ruttashobolwa

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2012
Messages
46,173
Points
2,000
Ruttashobolwa

Ruttashobolwa

JF-Expert Member
Joined Feb 22, 2012
46,173 2,000
Diamond alinitoka siku ile aliokuwa akimsalimia dingi wake studio, yaani mzee kajishusha lakini dogo hata heshima imemruka.


Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
Studio zipi hizo? kusalimia kwa heshima kunakuwaje?
 
Mtapenda

Mtapenda

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2011
Messages
281
Points
500
Mtapenda

Mtapenda

JF-Expert Member
Joined Sep 20, 2011
281 500
Kwahiyo wewe ni hawala wa huyo diamond.. mbona unajitwika mzigo usio uweza na hujui mwanzo upoje.... Vuta kiti keti agiza msokoto wa bange labda akili zitakukaa sawa
 
cocochanel

cocochanel

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2007
Messages
23,135
Points
2,000
cocochanel

cocochanel

JF-Expert Member
Joined Oct 6, 2007
23,135 2,000
Kenya kapatwa na majanga weekend hii nimesoma
Alipewa za uso kisa kudhalilisha wanawake.. huyo ajibadili.

Inasemwa ilibidi adanganye anaumwa kumbe eti aliogopa kumalizwa na kuzomewa etc

Si kweli au una lililojiri?
 
Ruttashobolwa

Ruttashobolwa

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2012
Messages
46,173
Points
2,000
Ruttashobolwa

Ruttashobolwa

JF-Expert Member
Joined Feb 22, 2012
46,173 2,000
Kwahiyo wewe ni hawala wa huyo diamond.. mbona unajitwika mzigo usio uweza na hujui mwanzo upoje.... Vuta kiti keti agiza msokoto wa bange labda akili zitakukaa sawa
Ni kweli kabisa mjukuu wangu karibu jf
 
cocochanel

cocochanel

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2007
Messages
23,135
Points
2,000
cocochanel

cocochanel

JF-Expert Member
Joined Oct 6, 2007
23,135 2,000
Tunajua unapenda kumsifia.. ila kwanini haumfunzi abadilike awe na tabia nzuri pia.

Wale wanawe huko SA ndio kawasahau kabisa au hana pesa ya kukaa hata hotelini?
 
Ruttashobolwa

Ruttashobolwa

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2012
Messages
46,173
Points
2,000
Ruttashobolwa

Ruttashobolwa

JF-Expert Member
Joined Feb 22, 2012
46,173 2,000
Tunajua unapenda kumsifia.. ila kwanini haumfunzi abadilike awe na tabia nzuri pia.

Wale wanawe huko SA ndio kawasahau kabisa au hana pesa ya kukaa hata hotelini?
Ana tabia gani mbaya zinazo tofautiana na wasanii wengine?
Umejuaje kawasahau watoto wake?
 
Ruttashobolwa

Ruttashobolwa

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2012
Messages
46,173
Points
2,000
Ruttashobolwa

Ruttashobolwa

JF-Expert Member
Joined Feb 22, 2012
46,173 2,000
Youtube,insta et al,bado unategemea radio imuinue ama kumuangusha mtu ?Hiyo ilikuwa kabla ya 2014 Kabla mchina hajaleta smartphones
Hivyo vyote havijaweza na haviwei kuchukua nguvu ya media ........
Tuwasaidie maboss wetu watumie njia gani ili huyu kijana aanguke kabisa asinyanyuke...
 

Forum statistics

Threads 1,303,521
Members 500,948
Posts 31,484,436
Top