Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Mzuqa! Kila nikisikiza kibao chake if I could turn the hand of time yani I become very emotional. Tumuombeeni Robert asifungwe. Akipatwa na hatia atafungwa miaka 70. Huu uonevu wa blacks ni too...
6 Reactions
34 Replies
4K Views
Mjadala huo tutasaidia kujua matumiz ya maneno haya ambayo naona hayatumik ipasavyo. Neno *Dada* iv mtu kuitwa dada awe na umri gani mwisho ,naona eatv dadaz lkn mbona ni w goa mama wale! Et kweli...
1 Reactions
28 Replies
5K Views
Msanii mbosso amesema hakuna sehemu nimesema nimenunua nyumba nilichofanya ni kuwashukuru mashabiki wangu walioniwezesha nimepata nafasi ya kujiifadhi lakini sijasema nimenunua nyumba. Hatahivyo...
0 Reactions
24 Replies
8K Views
Hi.. Every one ....? Before sija-zungumza chochote katika uzi huu please hii thread ni kwa ajili ya fans of HIP HOP MUSIC tu please over please #TeamMziwanda LOL, if you don't know any...
13 Reactions
169 Replies
75K Views
Ukiachana na yaliyopita kipindi cha mwanzoni wa ujana wake, DC jokate wa wilaya ya kisarawe ni mwanamke shupavu sana, anajua kujiongeza na hakika atailetea maendeleo kisarawe, ningekuwa ni raisi...
2 Reactions
22 Replies
4K Views
kumbukumbu isiyopotea
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Harmonize ndo king wa bongo F na east Africa Kwa sasa .. Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
21 Replies
4K Views
Muda huu mwili upo katika ukumbi wa staples center Los Angeles, ambapo viongozi ndugu jamaa na marafiki wanatoa speech kuhusu maisha ya nipsey kw ujumla. hapo chini ni ramani inayoonyesha mahali...
1 Reactions
21 Replies
8K Views
Wanachakarika kweli kutafuta hela ya mboga...nimeipenda hii. Ila bado kuna tatizo kubwa sana linaendelea kwenye bongo zao..hasahasa mke Au sijui alijisahau akatinga kiwalo chake alichopenda...
0 Reactions
30 Replies
5K Views
Kaka mkubwa amepunguza kilo kadhaa na kupendeza. Sujui ndiyo maandalizi ya harusi. Hongera kaka kwa ku make effort.
4 Reactions
25 Replies
8K Views
Wiki iliyopita kwenye mitandao ya kijamii kulivuja video ambayo ilikuwa inamuonesha Mjasiriamali na mtu maarufu mitandaoni, Lemutuz akiwa utupu hatimaye Wakili Msomi Alberto Msando ametoa neno...
3 Reactions
115 Replies
16K Views
Wana if. nimefuatilia coverage nyingi ndani na nje jinsi gani Ruge alivyokuwa anaitumikia jamii, kikubwa zaidi alitumia raslimali watu, radio na nguvu zake mwenyewe kuinua vipaji. Duninian kila...
6 Reactions
40 Replies
5K Views
Tobe honest, Vijana wetu hawa siku hizi wanatukera na matusi yao ila aisee kuna hizi you tube reactions channels jamaa wanapendwa kuna hadi mama anamsifia diamonds kwa lips zake, moja ya...
2 Reactions
3 Replies
3K Views
Mziki wa Nigeria unaendelea kukua kwa Kasi Duniani Hulu wasanii wake wakiendelea kunufaika Usiku wa Jana Drake akiwa London alimpandisha Wizkid nakumpa nafasi ya kupaform nyimbo zake kadhaa Kama...
4 Reactions
21 Replies
4K Views
Kumekuwa ana Mjadara Mkubwa Tanzania,Katika Maendeleo Ya kimziki Kwa Diamond Platnumz Na Wasanii wengine! Watu wanajaribu kufananisha maendeleo ya kimziki ya Diamond Platnumz na Davido,Wizkid na...
11 Reactions
122 Replies
17K Views
Wengine tumeamua kuurudia utukufu...lakini hizi chokochoko za hawa dada zetu kwenda mbinguni ni kazi sana.
2 Reactions
173 Replies
24K Views
Mnakoroma wee..halafu mnarudi kufanya yaleyale Sasa kama wanaume wa mkoani mko hivi hadi mnalia...wa dar waweje? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
17 Replies
3K Views
JINSI YA KUJIUNGA NA *INSTASCOOP* njia mpya ya kupata habari za uwakika moja kwa moja kwenye *WhatsApp* yako kutoka *Mwananchi communications Ltd* 1-Bonyeza hii...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Natumia nafasi hii kumpa hongera msanii Fid Q kwa kuaminika na kupewa ubalozi wa kutangaza hedhi salama kwa watoto wa kike. Hakika unastahili sana kuwa balozi na mtoa elimu ya hedhi kwa vijana wa...
0 Reactions
57 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…