Ruge Mutahaba apewe udaktari wa kukuza vipaji kabla hajazikwa

mgt software

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
12,713
2,000
Wana if.
nimefuatilia coverage nyingi ndani na nje jinsi gani Ruge alivyokuwa anaitumikia jamii, kikubwa zaidi alitumia raslimali watu, radio na nguvu zake mwenyewe kuinua vipaji.

Duninian kila mtu ana kasoro zake lakini ukiweka mzania kafanya mazuri mengi. Kwanza kijana ndogo kumiliki radio na tv sio mchezo, kuwa na kampuni ambayo inafanya kazi ya kuingizia serikali kipato kwa muda mrefu bila kufirisika sio mchezo. Tumeona radio na tv zikidaiwa kiasi cha kutia huruma.

Hata huvyo kurudisha watu kwenye game ambao washapotea kama Saida kalori sio mchezo. Hata kama kuna malalamiko kwa wanaodai kudhurumiwa naona sio kesi kwani hata waliko hawasogei zaidi ya lawama. Wengi tulikuwa hatuwajui lakini ni kama amewaleta mbinguni na wamefanikiwa.

Kwa maoni yangu na wengine naona atunukiwe udaktali wa heshima ili kumhenzi kwa alivyotumikia jamii. Hata JK, JPM wameliona hili bila kumsahau JM
 
Humphnicky

JF-Expert Member
Dec 1, 2010
2,038
2,000
Wana if.
nimefuatilia coverage nyingi ndani na nje jinsi gani Ruge alivyokuwa anaitumikia jamii, kikubwa zaidi alitumia raslimali watu, radio na nguvu zake mwenyewe kuinua vipaji. Duninian kila mtu ana kasoro zake lakini ukiweka mzania kafanya mazuri mengi. Kwanza kijana ndogo kumiliki radio na tv sio mchezo, kuwa na kampuni ambayo inafanya kazi ya kuingizia serikali kipato kwa muda mrefu bila kufirisika sio mchezo. Tumeona radio na tv zikidaiwa kiasi cha kutia huruma. Hata huvyo kurudisha watu kwenye game ambao washapotea kama Saida kalori sio mchezo. Hata kama kuna malalamiko kwa wanaodai kudhurumiwa naona sio kesi kwani hata waliko hawasogei zaidi ya lawama. Wengi tulikuwa hatuwajui lakini ni kama amewaleta mbinguni na wamefanikiwa.
Hizo PhD ni sawa na za chupi
 
FaizaFoxy

JF-Expert Member
Apr 13, 2011
71,266

Kipaji kipi alichokikuza? Na wale wasanii aliowaumiza mtampa nini? Uharo?

Wacheni upunguani, kisha kufa azikwe. PhD itamsaidia nini saa hizi?
 
chakii

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
19,041
2,000
Wana if.
nimefuatilia coverage nyingi ndani na nje jinsi gani Ruge alivyokuwa anaitumikia jamii, kikubwa zaidi alitumia raslimali watu, radio na nguvu zake mwenyewe kuinua vipaji. Duninian kila mtu ana kasoro zake lakini ukiweka mzania kafanya mazuri mengi. Kwanza kijana ndogo kumiliki radio na tv sio mchezo, kuwa na kampuni ambayo inafanya kazi ya kuingizia serikali kipato kwa muda mrefu bila kufirisika sio mchezo. Tumeona radio na tv zikidaiwa kiasi cha kutia huruma. Hata huvyo kurudisha watu kwenye game ambao washapotea kama Saida kalori sio mchezo. Hata kama kuna malalamiko kwa wanaodai kudhurumiwa naona sio kesi kwani hata waliko hawasogei zaidi ya lawama. Wengi tulikuwa hatuwajui lakini ni kama amewaleta mbinguni na wamefanikiwa.

Kwa maoni yangu na wengine naona atunukiwe udaktali wa heshima ili kumhenzi kwa alivyotumikia jamii. Hata JK, JPM wameliona hili bila kumsahau JM
Udaktali ndio nini , hebu rudi darasani

Sent from my Iphone using Tapatalk
 
mgt software

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
12,713
2,000
Kipaji kipi alichokikuza? Na wale wasanii aliowaumiza mtampa nini? Uharo?

Wacheni upunguani, kisha kufa azikwe. PhD itamsaidia nini saa hizi?
Mhh walioumia wachache kuliko waliotoboa kimaisha. Hata ccm ilitoboa bila yeye JK kwa Dr.Slaa angeisoma namba over.
 
Gidbang

JF-Expert Member
Jun 1, 2014
3,784
2,000
Ruge alikuwa mwana CCM halisi, CCM hutumia maskini kupata kura na baada ya uchaguzi wanaachwa wapambane na hali zao.
Na kwa namna moja amehusika kufifisha democrasia mchini na alionekana mzuri kw nje anaelemwnt za kubite na kupuliza Sism wameiweka wazi kuwa alikuwa wao
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom