Ona jinsi Diamond anavyosifiwa na hawa wamarekani, inafurahisha sana

nzagambadume

JF-Expert Member
Apr 9, 2018
2,430
5,769
Tobe honest,

Vijana wetu hawa siku hizi wanatukera na matusi yao ila aisee kuna hizi you tube reactions channels jamaa wanapendwa kuna hadi mama anamsifia diamonds kwa lips zake, moja ya marekani inaitwa THAT FIRE LA, hawa ni black americans na kuna ya UK inaitwa UBUNIFU SPACE ni waingereza weusi wenye asili ya afrika,zote hizo zinafanya reactions za nyimbo za afrika
nilicho notice ni kwamba Diamond ni maarufu sana kwa kweli na wale wanaosema kiswahili kinamrudisha nyuma siyo kweli,anajirudisha nyuma yeye na ujinga wake wa siku hizi..ila african music kwa sasa ni kitu kikubwa sana,kina sallam pia wangejaribu kujiboost kwa kutumia connections za chini kama hizi huko US na UK wakati wakijaribu kutumia zile kubwa ambazo kiukweli usipokuwa makini utaliwa hela zako tu
 
Back
Top Bottom